Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Sugu hapo anaonekana kama Tumbiri kakaa na binadam. Kwa mtazamo wa wafaransa kwa Waafrika.
Kwahiyo mkuu inakuaje wafaransa wakubali nchi Yao wawakalishwe na Tumbiri kwenye michezo ya mbalimbali kama mpira wa miguu na kule Olympic?
Wakati mnakosa hoja mjarabu, yaani Mtu mweusi anampiga mtu mweusi mwezie kwako sawa ila mtu mweupe kuja kumjulia hali mtu mweusi kwako siyo sawa. Unashangaza sana.
 
Dio sababu ga nweupe kumjulia hali mtu nweusi.

Ile michezo ni kwa maslahi yake. Labda huelewi kuwa mfaransa nna wazungu wengi, siyo wote, wapo tayari kufanya lolote kwa maslahi yao. Mzungu abaweza kumuuza hata dada'ke au mama'ke kwa maslahi yake.
 
CCM wanaumia na kujuta
Yule Awadhi ni muuaji. Ingekuwa nchi nyingine angefunguliwa mashtaka. Nilisikia maelezo ya Lissu, kumbe alimfokea hata RPC kwa kuongea na akina Lissu kwa taratibu. Ngoja iko siku yake inakuja. Hii dunia ilishawahi kuwa na makatili wenye vyeo vikubwa kuliko yeye lakini waliishia kufa vifo vibaya sana.
 
Dio sababu ga nweupe kumjulia hali mtu nweusi.

Ile michezo ni kwa maslahi yake. Labda huelewi kuwa mfaransa nna wazungu wengi, siyo wote, wapo tayari kufanya lolote kwa maslahi yao. Mzungu abaweza kumuuza hata dada'ke au mama'ke kwa maslahi yake.
Pamoja na ''roho zao mbaya'' lakini wajahidina wakipata shida wanakimbilia kwenye nchi zao na hawaendi uarabuni kwenye wajahidina wenzao!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.

Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)

Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Huu unyama ulio fanywa na huyu Mzanzibar uchwara ita mharibia sana Mh. Rais ambae alisha amza kuaminiwa na mataifa ya nje
Halafu bado IGP kaweka pamba masikioni hataki kutoa tamko wala kumpangia kitengo kingine. Maana najua waziri hata fanya lolote maana ni home boy.
Huyu Awadhi ndie huyo huyo alie mvunja Jussa mguu kule Zanzibar
 
ila sometimes nahisi polisi wametumwa na maadui wa samia wamchafulie. manake kwa kitendo tuseme cha kuwakamata viongozi wa chadema na kuwapiga, na kumteka yule dogo wa kuchoma picha, kimempunguzia samia credit nyingi sana.
 
Hapa ndani tu mmeshindwa kuji manage, eti mna mafuta na madini? Unajua nchi ngapi zina similar resources?
Hamna u special wowote huko nje, acheni kujidanganya
sasa ndio mjipendekeze kwa wafaransa, ngoja ibrabim troure awasikie, mtakiona cha mtemakuni
 
Huu unyama ulio fanywa na huyu Mzanzibar uchwara ita mharibia sana Mh. Rais ambae alisha amza kuaminiwa na mataifa ya nje
Halafu bado IGP kaweka pamba masikioni hataki kutoa tamko wala kumpangia kitengo kingine. Maana najua waziri hata fanya lolote maana ni home boy.
Huyu Awadhi ndie huyo huyo alie mvunja Jussa mguu kule Zanzibar
yaani huyu jamaa kumbe ni mzanzibari? anawafanya hivi watanganyika? au kwasababu rais ni mzanzibari? na vile huwa wanateteana? Tanganyika tutaamka lini?
 
Back
Top Bottom