John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kumbuka kwamba Hawa wanaomtembelea Sugu kila siku ni MABEBERU, Wana virungu vikali zaidi kushinda virungu vya hao waliompiga Sugu. Take care!Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Kujipendekeza kwa wazunguKinachokuliza nini?
Kwa kuwa wewe ukiwa unaumwa kipindupindu chako huwa unakonda na kudhoofika unadhani wote huwatokea hivyo?mtu alopigwa amenawiri hivyo? namie wakanipige walahi, ila wazenj bwana anaweza kukupiga na ufagio wa buibui akajua amekuua
Na awalaani CCM na vyombo vyao vya utesaji na mashetani wao kama Awaddh.Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Kama una akili japo kidogo, ulitakiwa kumwambia shetani Awadh atii na kufuata sheria bila shuruti maana ndiye aliyekiuka sheria, katiba ya nchi, hata PGO.Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Kujipendekeza kwa wazungu
Labda Sugu angepigwa na virungu mara ngapi mkuu ili uridhike? Au ni wivu kwa kuwa mchizi fulani tu, Sugu anafuatwa alipo na balozi wa nchi ya Ulaya?Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Murderers and dictators must be subjected to isolation from any civilized world. There is no sovereignity when it comes to violation of human rights.Sawa.....
Leo hajaonekana shemeji mke wa komredi Sugu akijifumbata mikono yake mbele ya ugeni huu mzito wa mh.Balozi wa Ufaransa kama ALIVYOJIFUMBATA mbele ya ugeni mzito kwelikweli wa mh.balozi wa marafiki zetu Marekani looh hata kuonekana pia ?!!
Anaudogosha ujumbe wa wafaransa kwa sababu hawana "green cards"?!!! [emoji1787][emoji1787]
#Peace & Love[emoji2956]
#Tanzania is a sovereign Nation[emoji2956]
Vipi wazungu wamekupiga kipara nini?Sugu awe makini na Hawa mabasha wa kizungu
Balozi anapiga kura?Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
swali lako ni la kijinga mno!Balozi anapiga kura?
Mahita hivi sasa miguu imemvimba kutokana na AlbadiriHivi Kenya unaweza ukampiga baba kwa kiwango hicho Mbele ya wanachama wake tena akiwa nyumbani .
Chadema tumieni pesa zenu vizuri kukijenga chama kifalsafa na sio kufarakana na kulipizana kwa kuchongeana kama alivyofanya Msigwa kuwachongea Chadema ili Sugu asiweze kupata sifa ya kuwa bado Kanda ya Nyasa ni imara .
Msigwa ni Mtu mbaya sana kama alivyo Tulia .
Awadhi ni Kama Mahita . Na kwa CCM hii ya Samia atapewa UIGP kuwaangamiza Watanganyika wa Chadema kama Mahita alivyowaangaliza wazanzibari wanachama wa CUF 2001.
Kuna mda wa nazingua sema wtz atujielewi .Hivi Kenya unaweza ukampiga baba kwa kiwango hicho Mbele ya wanachama wake tena akiwa nyumbani .
Chadema tumieni pesa zenu vizuri kukijenga chama kifalsafa na sio kufarakana na kulipizana kwa kuchongeana kama alivyofanya Msigwa kuwachongea Chadema ili Sugu asiweze kupata sifa ya kuwa bado Kanda ya Nyasa ni imara .
Msigwa ni Mtu mbaya sana kama alivyo Tulia .
Awadhi ni Kama Mahita . Na kwa CCM hii ya Samia atapewa UIGP kuwaangamiza Watanganyika wa Chadema kama Mahita alivyowaangaliza wazanzibari wanachama wa CUF 2001.
Ccm mmejaa wajinga ndio maana huku Kanda ya ziwa tutawafurusha chaguz zote na hamtaamin, viongoz wenu waliwahadaa wananchi kuwa upinzan unachelewesha maendeleo, Leo kila Kijiji, kata, Jimbo na urais viongoz ni ccm halafu upuuz mtupu.Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Wewe na viongoz wako huko ccm ndio wajinga na wapumbavu mnaopokea misaada ya wafaransa huku mkishangilia Kisha viongoz wenu waliokosa maono wanafanya ufisadi na bado mijinga kama wewe unaendelea kushangilia, nchi imejaa rasilimali nyingi lakini Kwa kuwa ccm imejaa wajinga wajinga matokeo yake Leo miaka zaidi ya 60 toka uhuru bado lichama lenu linawaza kujenga matundu ya choo mashuleni hizo ni akili matope.Hawa Wafaransa waliotolewa mbio na Ibrahim Traore leo ni wema kwa Waafrika?
Huyo hapo yupo kwenye "wagawe uwatawale" na mijinga ya chadomo itamwona anafanya la maana.
Stuxnet atanuna hapaKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Huo ni UJUMBE kwa Joseph Mbilinyi kwamba Mbeya hatutaki hayo masiasa ya maandamano na migogoro na Serikali. Tumechelewa sana kupata maendeleo kwa sababu ya Mbeya kutumika kama sehemu ya figisu na serikali.Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Wamempaisha kweli kweli bila kutegemea !Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu