Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Kumbuka kwamba Hawa wanaomtembelea Sugu kila siku ni MABEBERU, Wana virungu vikali zaidi kushinda virungu vya hao waliompiga Sugu. Take care!
 
mtu alopigwa amenawiri hivyo? namie wakanipige walahi, ila wazenj bwana anaweza kukupiga na ufagio wa buibui akajua amekuua
Kwa kuwa wewe ukiwa unaumwa kipindupindu chako huwa unakonda na kudhoofika unadhani wote huwatokea hivyo?

Try to be smart before writing stupid stuffs like this..!!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.

Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)

Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Na awalaani CCM na vyombo vyao vya utesaji na mashetani wao kama Awaddh.
 
Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Kama una akili japo kidogo, ulitakiwa kumwambia shetani Awadh atii na kufuata sheria bila shuruti maana ndiye aliyekiuka sheria, katiba ya nchi, hata PGO.
 
Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Labda Sugu angepigwa na virungu mara ngapi mkuu ili uridhike? Au ni wivu kwa kuwa mchizi fulani tu, Sugu anafuatwa alipo na balozi wa nchi ya Ulaya?

Haya mambo yanaweza kutokea kwa yeyote akiamua kufanya kwa bidii kile anachokiamini huku akiwa na mrengo katika maisha. Kuonea wivu wenye mafanikio hakutusaidii.

Ova
 
Sawa.....

Leo hajaonekana shemeji mke wa komredi Sugu akijifumbata mikono yake mbele ya ugeni huu mzito wa mh.Balozi wa Ufaransa kama ALIVYOJIFUMBATA mbele ya ugeni mzito kwelikweli wa mh.balozi wa marafiki zetu Marekani looh hata kuonekana pia ?!!

Anaudogosha ujumbe wa wafaransa kwa sababu hawana "green cards"?!!! [emoji1787][emoji1787]

#Peace & Love[emoji2956]
#Tanzania is a sovereign Nation[emoji2956]
Murderers and dictators must be subjected to isolation from any civilized world. There is no sovereignity when it comes to violation of human rights.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.

Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)

Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Balozi anapiga kura?
 
Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti

Hivi Kenya unaweza ukampiga baba kwa kiwango hicho Mbele ya wanachama wake tena akiwa nyumbani .

Chadema tumieni pesa zenu vizuri kukijenga chama kifalsafa na sio kufarakana na kulipizana kwa kuchongeana kama alivyofanya Msigwa kuwachongea Chadema ili Sugu asiweze kupata sifa ya kuwa bado Kanda ya Nyasa ni imara .

Msigwa ni Mtu mbaya sana kama alivyo Tulia .

Awadhi ni Kama Mahita . Na kwa CCM hii ya Samia atapewa UIGP kuwaangamiza Watanganyika wa Chadema kama Mahita alivyowaangaliza wazanzibari wanachama wa CUF 2001.
 
Mahita hivi sasa miguu imemvimba kutokana na Albadiri
 
Hivi Kenya unaweza ukampiga baba kwa kiwango hicho Mbele ya wanachama wake tena akiwa nyumbani .

Chadema tumieni pesa zenu vizuri kukijenga chama kifalsafa na sio kufarakana na kulipizana kwa kuchongeana kama alivyofanya Msigwa kuwachongea Chadema ili Sugu asiweze kupata sifa ya kuwa bado Kanda ya Nyasa ni imara .

Msigwa ni Mtu mbaya sana kama alivyo Tulia .

Awadhi ni Kama Mahita . Na kwa CCM hii ya Samia atapewa UIGP kuwaangamiza Watanganyika wa Chadema kama Mahita alivyowaangaliza wazanzibari wanachama wa CUF 2001.
Kuna mda wa nazingua sema wtz atujielewi .
Heri utawala wa chama kimoja siasa zinachelewesha mambo siasa mambo meng
 
Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Ccm mmejaa wajinga ndio maana huku Kanda ya ziwa tutawafurusha chaguz zote na hamtaamin, viongoz wenu waliwahadaa wananchi kuwa upinzan unachelewesha maendeleo, Leo kila Kijiji, kata, Jimbo na urais viongoz ni ccm halafu upuuz mtupu.
Mpeni taarifa mamayenu huko ccm kuwa akipata hata vijiji 100 aende kizmkaz kutambika.
 
Hawa Wafaransa waliotolewa mbio na Ibrahim Traore leo ni wema kwa Waafrika?

Huyo hapo yupo kwenye "wagawe uwatawale" na mijinga ya chadomo itamwona anafanya la maana.
Wewe na viongoz wako huko ccm ndio wajinga na wapumbavu mnaopokea misaada ya wafaransa huku mkishangilia Kisha viongoz wenu waliokosa maono wanafanya ufisadi na bado mijinga kama wewe unaendelea kushangilia, nchi imejaa rasilimali nyingi lakini Kwa kuwa ccm imejaa wajinga wajinga matokeo yake Leo miaka zaidi ya 60 toka uhuru bado lichama lenu linawaza kujenga matundu ya choo mashuleni hizo ni akili matope.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.

Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)

Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Stuxnet atanuna hapa
 
Huo ni UJUMBE kwa Joseph Mbilinyi kwamba Mbeya hatutaki hayo masiasa ya maandamano na migogoro na Serikali. Tumechelewa sana kupata maendeleo kwa sababu ya Mbeya kutumika kama sehemu ya figisu na serikali.

Na akina Mbowe wnajuwa kuwa huyu Sugu ni Form IV failure yaani ni wa D 2 kwa hiyo wanamsukumia tu maandamano Mbeya. Mbona wasifanye kwenye mikoa yao ya Kilimanjaro na Singida?
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji.

Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)

Soma Pia:
Mungu wabariki Wazungu
Wamempaisha kweli kweli bila kutegemea !
Hata akina Biden na Macron wanaulizia habari zake kwa sasa 😂😅🙌
 
Back
Top Bottom