Hivi Kenya unaweza ukampiga baba kwa kiwango hicho Mbele ya wanachama wake tena akiwa nyumbani .
Chadema tumieni pesa zenu vizuri kukijenga chama kifalsafa na sio kufarakana na kulipizana kwa kuchongeana kama alivyofanya Msigwa kuwachongea Chadema ili Sugu asiweze kupata sifa ya kuwa bado Kanda ya Nyasa ni imara .
Msigwa ni Mtu mbaya sana kama alivyo Tulia .
Awadhi ni Kama Mahita . Na kwa CCM hii ya Samia atapewa UIGP kuwaangamiza Watanganyika wa Chadema kama Mahita alivyowaangaliza wazanzibari wanachama wa CUF 2001.