Balozi wa Uingereza nchini: Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi za wanaowafadhili. Ni kuhusu haki za LGBTQ

Balozi wa Uingereza nchini: Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi za wanaowafadhili. Ni kuhusu haki za LGBTQ

Mkuu salama lakini, unauliziwa sana kwenye Jukwaa letu pendwa la Sports. Siku njema Kiongozi.
 
Jinsia (Gender) ni uhusiano au nafasi ya mwanamke na mwanaume ndani ya jamii

Jinsi (Sex) ni tofauti za kibailojia kati ya mwanamke na mwanaume. Mfano, jinsi yake ni me au ke.

Hapo kwenye makundi maalumu inajumuisha watu ambao kwa namna moja wanahitaji sapoti kutoka katika jamii kwa sababu mbalimbali mfano, walemavu, watoto wa mitaani, wazee, labda na hao LGBT sasa waingie humo!
Asante Sana kwa ufafanuzi Mate, hiyo ndio ilikuwa wasiwasi wangu kwamba hapo kwenye Makundi Maalum wenye Nia zao ovu hawawezi kutumia huo mwanya, maana ni kama wamewekewa nafasi ya kuingia.
 
Back
Top Bottom