Jinsia (Gender) ni uhusiano au nafasi ya mwanamke na mwanaume ndani ya jamii
Jinsi (Sex) ni tofauti za kibailojia kati ya mwanamke na mwanaume. Mfano, jinsi yake ni me au ke.
Hapo kwenye makundi maalumu inajumuisha watu ambao kwa namna moja wanahitaji sapoti kutoka katika jamii kwa sababu mbalimbali mfano, walemavu, watoto wa mitaani, wazee, labda na hao LGBT sasa waingie humo!