Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Mwambieni Balozi kuwa Mwenyekiti alikuwa anatoka kwenye ulevi na uzinzi
 
Tulieni mgeuzwe zimbabwe
 
Ingekuwa mpinzani kasema kuwa Mbowe kashambuliwa angeambiwa adhibitishe, na hata angeitwa kamati ya maadili. Hilo ndio bunge mateka wa jiwe.
Anaitwa state agent
 
Jumuiya ya Ulaya yaungana na Uingereza kuonesha masikitiko na kuwa ina imani serikali ya Tanzania itafanya kila linalo wezekana kufanya uchunguzi wa tukio hili la Mh. Freeman Aikael Mbowe kushambuliwa na watu wasiojulikana mjini Dodoma, Tanzania ili wapatikane na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria ili haki ipatikane.

Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Hon. Freeman Mbowe
Dar es Salaam, 09/06/2020 - 17:19, UNIQUE ID: 200609_18
Local Statements
Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament.

Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament, was attacked by unknown assailants on Tuesday 9 June while returning home in Dodoma. Mr Mbowe suffered several injuries and is receiving treatment at the hospital.
The European Union Heads of Mission in Tanzania express their sympathy to Mr. Freeman Mbowe and wish him a speedy recovery.

Every attack against a representative of the institutions of the United Republic of Tanzania, whatever his/her political affiliation, is an attack against democracy. With general elections only a few months ahead of us it is essential to let democracy take its course and ensure all conditions to full participation in credible and transparent elections.

The European Union Heads of Mission trust that the authorities will successfully investigate and bring the perpetrators to justice.

Source :
Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Hon. Freeman Mbowe
 
uingereza ichukue hatua wasiishie tu kusikitika
 
MIE kuna siku nimeshambuliwa na kuvamiwa na majambazi nikavunjwa jino ila sijamsikia huyu balozi akikemea jamani.yani huyu ni mnafiki kiasi cha lami.kama wale chama cha wajane kimeenda kumuona ki Lyn Wa mengi na huku kijijini kwetu kuna binamu yangu akaacha mjane na anauza nyanya kwenye minada ila hicho chama sijakiona wakienda kumuona. Na hawa wote ni wanafiki kama wanafiki wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…