Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ndiyo uwezo wake umegota hapo
Ndiye final and conclusive kwako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiye final and conclusive kwako?
Mwambieni Balozi kuwa Mwenyekiti alikuwa anatoka kwenye ulevi na uzinziBi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''
My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Mbinyo wa kimataifa unazidi kuongezeka kwa serikali ya CCM Mpya .
Kwani Lijualikali ndiye msemaji wa Jeshi la Polisi au yeye ndiye mke wa Mbowe?
Acha ujinga!
Zito na chama chake sio tishio kwa ccm.
Arudi Wingereza akapambane na hali yao.
View attachment 1472279
Protesters throw statue of Edward Colston into Bristol harbour during a Black Lives Matter protest rally yesterday
View attachment 1472282
View attachment 1472285
Police officers stand in a line next to protesters during a Black Lives Matter protest rally in Westminster today
View attachment 1472289
Police clash with Black Lives Matter protesters during the demonstration in Westminster yesterday
View attachment 1472291
Credit: Black Lives Matter protester says he desecrated Churchill's statue
Anaitwa state agentIngekuwa mpinzani kasema kuwa Mbowe kashambuliwa angeambiwa adhibitishe, na hata angeitwa kamati ya maadili. Hilo ndio bunge mateka wa jiwe.
Kwani Lijualikali ndiye msemaji wa Jeshi la Polisi au yeye ndiye mke wa Mbowe?
Acha ujinga!
huyu siku si nyingi ataingia kwenye list ya pompeo, ajue hata miaka 30 wanakungoja tu
We pimbi kweli, ndio maana mlikuwa mnalazimisha akatibiwe hospitali ya serikali ili mfanye ujinga wenu wa manipulation, mmefeli.Tayari wameshampelekea ripoti spika wa bunge.
Ulevi wa faru john sio mchezo.We pimbi kweli, ndio maana mlikuwa mnalazimisha akatibiwe hospitali ya serikali ili mfanye ujinga wenu wa manipulation, mmefeli.
Unaongeaga vitu off topic kabisa! Sijui huwa una matatizo ganiHuna ubavu wa kubishana na USA subirini mning'izwe tu
Hatua gani sasauingereza ichukue hatua wasiishie tu kusikitika
Halafu hawa wavamizi wamepiga miguu tu!!!!!!!!Lijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani
Simjui huyoThubutu! Muulize Mudhihir.
Ni mchawi kuliko Kinjekitile Ngwale?Unamjua Zitto vizuri, alitamka wazi ukimfuata kwake utakuta ziwa Tanganyika