Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Analazimisha buku 7 hujui kuwa karibu shule zinafunguliwa?
Wewe KAWE ALUMNI hauna kazi ya kufanya??? Maana kila uzi lazima uchangie hadi kero. Uwe unapumzika usikilize na wenzio
 

Sasa pale atakapojua kuwa mbowe alifanya usanii baada ya ulevi wake pia atasikitika au atasema nini?
Wawe wanasubili kupata taarifa sahihi kwanza.
Kuna mwingine eti anataka u Raisi kesharukia huko na kuzungumzia hilo jambo kiingereza ili hao mashoga Waelewe wakati ni.usanii.
Sasa sijui atawaomba msamaha?
Awe anasubili hata apate taarifa sahihi
Akiwa na haraka hivyo na anataka uongozi mkubwa si atauwa sana watu bila kosa?
Watulie tu mbowe kateguka tu kwa pombe.
 
Wacheni kucheza na USA nyinyi inawezekana alisha yajua hayo mambo yenu hata kabla hayajatokea
 
APELEKE UPUMBAVU HUKO NA USHOGA WAO AKOMENTI NA MAUAJI YA TRUMP KWA WATU WEUSI.
 


Madokta wathibitisha chanzo cha kuanguka ni pombe, Mbowe alikuwa kalewa chakari.

CDM hizi hadithi za mtoto alielia mbwa mwitu ipo siku watu watawadharau.
 
Wacheni kucheza na USA nyinyi inawezekana alisha yajua hayo mambo yenu hata kabla hayajatokea

Mbona hakujua corona na ilimshinda?
Tumia akili zako wacha kutumia na kuwaabudu hao USA mpaka ukapoteza utu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…