Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Analazimisha buku 7 hujui kuwa karibu shule zinafunguliwa?
Wewe KAWE ALUMNI hauna kazi ya kufanya??? Maana kila uzi lazima uchangie hadi kero. Uwe unapumzika usikilize na wenzio
 
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.

''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''


My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!

Sasa pale atakapojua kuwa mbowe alifanya usanii baada ya ulevi wake pia atasikitika au atasema nini?
Wawe wanasubili kupata taarifa sahihi kwanza.
Kuna mwingine eti anataka u Raisi kesharukia huko na kuzungumzia hilo jambo kiingereza ili hao mashoga Waelewe wakati ni.usanii.
Sasa sijui atawaomba msamaha?
Awe anasubili hata apate taarifa sahihi
Akiwa na haraka hivyo na anataka uongozi mkubwa si atauwa sana watu bila kosa?
Watulie tu mbowe kateguka tu kwa pombe.
 
Wacheni kucheza na USA nyinyi inawezekana alisha yajua hayo mambo yenu hata kabla hayajatokea
Sasa pale atakapojua kuwa mbowe alifanya usanii baada ya ulevi wake pia atasikitaka na kusema nini?
Wawe wanasubili kupata taarifa sahihi kwanza.
Kuna mwingine eti anataka u Raisi kesharukia huko na kuzungumzia hilo jambo kiingereza ili hao mashoga
Waelewe wakati ni.usanii sasa sijui atawaomba msamaha?
Awe anasubili hata apate taarifa sahihi
Akiwa na haraka hivyo na anataka uongozi mkubwa si atauwa sana watu bila kosa?
Watulie tu mbowe kateguka tu kwa pombe.
 
APELEKE UPUMBAVU HUKO NA USHOGA WAO AKOMENTI NA MAUAJI YA TRUMP KWA WATU WEUSI.
 



Madokta wathibitisha chanzo cha kuanguka ni pombe, Mbowe alikuwa kalewa chakari.

CDM hizi hadithi za mtoto alielia mbwa mwitu ipo siku watu watawadharau.
 
Wacheni kucheza na USA nyinyi inawezekana alisha yajua hayo mambo yenu hata kabla hayajatokea

Mbona hakujua corona na ilimshinda?
Tumia akili zako wacha kutumia na kuwaabudu hao USA mpaka ukapoteza utu wako.
 
Back
Top Bottom