Ulizia wahenga watakupa ndogo ndogo juu ya kilichompata baada ya kuwa kiherehere.Simjui huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulizia wahenga watakupa ndogo ndogo juu ya kilichompata baada ya kuwa kiherehere.Simjui huyo
Walishasema.Kama alikuwa amelewa madaktari watasema.
Wewe KAWE ALUMNI hauna kazi ya kufanya??? Maana kila uzi lazima uchangie hadi kero. Uwe unapumzika usikilize na wenzioLijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani
Subirini kibano na muwe kama ZimbabweUnaongeaga vitu off topic kabisa! Sijui huwa una matatizo gani
Wewe KAWE ALUMNI hauna kazi ya kufanya??? Maana kila uzi lazima uchangie hadi kero. Uwe unapumzika usikilize na wenzio
Wewe KAWE ALUMNI hauna kazi ya kufanya??? Maana kila uzi lazima uchangie hadi kero. Uwe unapumzika usikilize na wenzio
Ndo nipo kwa hao hao unaotaka watoe kibanoSubirini kibano na muwe kama Zimbabwe
Huo uchawi why asiufanye kigoma iendelee?Ulizia wahenga watakupa ndogo ndogo juu ya kilichompata baada ya kuwa kiherehere.
Weka akiba...Kama serikali ndo imemshambulia basi Zitto angekuwa ashashambuliwa siku nyingi tu!
........Huyo mama angetumia busara kidogo angejua kuwa hii ni movie.
Ya mnywa pombe
Hata kama alikuwa amelewa wengi wanalewa,, ila kinachoshangaza ni kwamba "kwanini Mambo yote mabaya ktk siasa yanawakuta wapinzani tu?" Inatafakarisha sana.Ulevi wa faru john sio mchezo.
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''
My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Ndo nipo kwa hao hao unaotaka watoe kibano
Sasa pale atakapojua kuwa mbowe alifanya usanii baada ya ulevi wake pia atasikitaka na kusema nini?
Wawe wanasubili kupata taarifa sahihi kwanza.
Kuna mwingine eti anataka u Raisi kesharukia huko na kuzungumzia hilo jambo kiingereza ili hao mashoga
Waelewe wakati ni.usanii sasa sijui atawaomba msamaha?
Awe anasubili hata apate taarifa sahihi
Akiwa na haraka hivyo na anataka uongozi mkubwa si atauwa sana watu bila kosa?
Watulie tu mbowe kateguka tu kwa pombe.
Wacheni kucheza na USA nyinyi inawezekana alisha yajua hayo mambo yenu hata kabla hayajatokea
Lijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani