Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Hapa kuna kaujinga kanaendelea.

Kwanini hazitokia details? Mbowe ameweza kupunga mkono ameshindwa kusema lolote? Lisu alikua hoi lakini details tulipata tena within a short time.

Badala yake details unazipata kwa mashabiki wa kisiasa. Hata watu wake wa karibu hawasemi kitu wapo kimya.

Hatuambiwi kama walinzi wanahojiwa na maelezo ya mwanzoni yanaashiria hiki au kile, hatuambiwi kama Lijualikali anahojiwa au wameamua kuamini hitimisho la Lijualikali.

Yaani mashabiki ndiyo wameachwa watengeneze na wazitetee scenarios. Mwingine huyu anataka balozi wa nchi inayokupa hadi neti afukuzwe.
 
Na wewe umekuwa mstari wa mbele kwenye masuala gani?

Muroto ile asubuhi alisemaje kwani? Kwa Ndugai na mkwewe Lijuakali pamoja na Msukuma wanageuka kuwa Polisi?

Hili tukio kuna kitu kikubwa kinaenda kutokea ambacho hakitegemewi na hii ni spining yake?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mmmhhh....kuchafua picha ya .... ili yaliyopangwa....yatimie kwa mlango matukio Kama hili ndio viwe vahalalisho..... vya mkazo na utekelezaji,....Geo Floydization conspiracy.... Political glocalisation.... Take care broo, whistle blowers are ideally born well wishers
 
Huyo mama anatakiwa afanyiwe upatu na wamama wa uswahilini.. wamchambe achambike aache kuzungumzia yasiyomuhusu!
Afuate kilichomleta kama anataka bwana hata Mimi nipo..😜
 
ZALEMDA,

Mbona la Mbowe mmelishupalia sana.

Mngetoa ripoti ya Lissu kwanza, kama imeshindikana basi hata ya mawazo, ikishindikana hiyo basi hata ya zile maiti zilizowekwa kwenye sandarusi, wakishindwa hapo hata ya Roma na Moni, basi wakishindwa koote watoe hata taarifa ya Mo tu itatosha.

Do you still believe kua sisi Tz tuna jitosheleza kwenye uchunguzi.....[emoji856]
 
ZALEMDA,
Usimhukumu kabla kupata ukweli ni yeye aliyeandika huo ujumbe? Isije ikawa wahuni wa Twitter.
 
Hutaki aingilie wakati kila wakati unapokea misaada na mikopo yake? Ina maana Mbowe ni mjinga mpaka ajisingizie kupigwa wakati kaumia mwenyewe?
Msitumie nguvu nyingi kuzima hili jambo wakati utasema
Mshana una hoja ya kweli.
 
Hakwenda baa aliekwenda apartment ya jirani wakamvizia wakati anarudi kalewa wakampiga
Eti kiongozi wa kambi ya upinzani!!! Anawezaje kwenda bar kulewa mpaka usiku wa manane tena bila hata ya kuwa mlinzi? Huu ni ujuha wa kupitiza . Alijitakia mwenyewe kushambuliwa . Pungezeni kulalamika.
 
Nimesema ikitokea sasa matusi ya nini jamani!!!Tena na chadema ifutwe ikitokea hivyo
.Chadema ni kama timu ya mpira; unaweza kuifuta ila uwezi kuifuta mashabiki wake.
Kwako ujinga umeota mizizi.
 
Mwambie George floyd amezikwa kwanza au anareta domo tu ...uko Marekani kumewaka taa bango liko kubwa sana mbona ajiongeleshi........au huyu mbowe yeye alitoka naye moshi.....???

Tunataka aongelee kwake hizo mambo zao nini kinamuwasha au ndio tayari kashapata yutiyai ya kwa hisani ya mpalange.........i thoughts this woman she is hopeless who needed to get advices.....why she always talk nonsenses without evidence
Kwani Nyie ubarozi Wenu Uko Marekani Mmezuiwa kuliongelea Swala la George Flyord?
 
Balozi afukuzwe kama sio kweli na kama ni kweli wehu wote tz wafukunze nadhani hutakosekana kwenye kundi hilo.
Tz inaihitaji zaidi Marekani kuliko Marekani inavyoihitaji Tz. Halina ubishi hilo.
 
ZALEMDA,

Ni upumbavu kudhani anaetuhumiwa yeye ndio awe mchunguzi halafu atoe majibu yanayom-incriminate!

No one will believe anything the government investigate!

Serikali hiyo hiyo ndio inayotuhumiwa!

Watoe majibu sasa hivi....no one will listen upupuu!

Ku-deal na upinzani sio kitu rahisi maana ni opposition to the government,wako katika equal footing,mtakachochunguza ni umama mtupu.

Solution in independent investigation ambapo serikali itakataa maana watashikwa!

Fvck the government!

"Every government in the world is inherently evil----Bob Marley"!
 
Ni upumbavu kudhani anaetuhumiwa yeye ndio awe mchunguzi halafu atoe majibu yanayom-incriminate!

No one will believe anything the government investigate!

Serikali hiyo hiyo ndio inayotuhumiwa!

Watoe majibu sasa hivi....no one will listen upupuu!

Ku-deal na upinzani sio kitu rahisi maana ni opposition to the government,wako katika equal footing,mtakachochunguza ni umama mtupu...

Solution in independent investigation ambapo serikali itakataa maana watashikwa!

Fvck the government!

"Every government in the world is inherently evil----Bob Marley"!

Ukifikiri kwa kutumia ubongo huta sita kufahamu kuwa kila sovereign state ina sheria na utaratibu wake wa kujitawala, kusimamia sheria na kuchunguza bila ya kuingiliwa na nchi nyingine.

Tukiendekeza ujinga ya kushobokea vya ughaibuni hata kwa mambo madogo itatufikisha mahala hata uchunguzi wa tuhuma ya fumanizi tutataka ufanywe na mataifa ya nje!

Kuzoroto kwa mvuto wa chama kusiwatie upofu, wajitahidi kuangalia wapi walipobugi ili wajirekebishe, badala ya kuzua matukio ya kulaghai watu kwa kutegemea kupata huruma za wananchi.
 
Ukifikiri kwa kutumia ubongo huta sita kufahamu kuwa kila sovereign state ina sheria na utaratibu wake wa kujitawala, kusimamia sheria na kuchunguza bila ya kuingiliwa na nchi nyingine.
Tukiendekeza ujinga ya kushobokea vya ughaibuni hata kwa mambo madogo itatufikisha mahala hata uchunguzi wa tuhuma ya fumanizi tutataka ufanywe na mataifa ya nje!
Kuzoroto kwa mvuto wa chama kusiwatie upofu, wajitahidi kuangalia wapi walipobugi ili wajirekebishe, badala ya kuzua matukio ya kulaghai watu kwa kutegemea kupata huruma za wananchi.
Unafeli

Kujitawala?

Utawala huo huo ni suspect kwenye tukio halafu yenyewe ijichunguze?

Ndio maana inaundwa tume huru kuchunguza,acha upumbavu!

Ndio maana kifo cha Robert Ouko Kenya waliamua kuwaita Scotland Yard ambae ni independent third part kuchunguza maana serikali ya Kenya nayo ilikua ni mtuhumiwa!

Usije jifanya eti kila kitu hata ambacho serikali husika inatuhumiwa humo humo ijichunguze yenyewe pia halafu utegemee impartiality!

Kafieni huko mapunguani nyie!
 
Saa 6 - 7 usiku huna ulinzi Mwenyekiti wa Chama? KUB?

Nakumbuka mara kadhaa mitaa ya Morocco nilikua nikipishana na Mzee wangu Marehemu Mapalala akiwa na walinzi wawili, mmoja Yuko naye karibu na mwingine huwa Kama hatua 15 toka walipo wao. Japo walionekana wenye vitambi lakini walikuwepo!
 
alikunywa mipombe yake mnatuletea kavamiwa we kiongoz gan anazurula usku na walinzi wake walkuwa wap kama so kujifanya ili wachafue serkal ya king of Africa Mh.Magufuli rais wa kipekee mwenye akili ya kujiongoza kama kiongoz na bado atawakera zaid watajarbu kumharbia awata weza magufuli king of Africa
 
Huyu mwanamke amekuwa mstari wa mbele kuishutumu serikali yetu katika mambo ambayo hana uhakika nayo na kuleta taharuki juu ya nchi yetu.

Amevunja mkataba, kanuni na universal convention ya kutoingilia mambo ya ndani ya nchi anayoiwakilisha.

Katika tukio la Mbowe, ikitokea ripoti ikaonyesha Mh. Mbowe hakushambuliwa bali ni ajali ya kawaida, napendekeza balozi huyu afukuzwe nchini ndani ya 24 hours.

Wewe una shida moja upstairs....

Ni ya kufikiri na kuchambua mambo kimantiki...

USA wanajua kila kitu kinachoendelea...

Pengine hata hukumbuki kuwa USA wana faili la uchunguzi wao dhidi ya Daudi Bashite a.k.a Paul Makonda kwamba ndiye anayesimamia show nzima ya "kudhulumu uhai wa watu"....

Unaelewa maana ya " kudhulumu uhai wa watu" wewe? Ni kuua watu....!

Hujui kuwa alishawekewa vikwazo yeye na familia yake kuingia USA kwa sababu hiyo... Hujui, hujui, hujui unajiandikia tu....

Tatizo ni moja. Katika dunia ya leo, ni ngumu mno kufanya tukio la "unyama unaoratibiwa na mfumo wa kidola" na usijulikane na dunia...!

By the way, hicho unachokisema "uchunguzi wa kipolisi ukitoka", kwani ni upi wakati ulishatoka kupitia kwa Spika Ndugai bungeni?

Nani ategemee kitu tofauti na hicho?
 
Back
Top Bottom