Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umekuwa mstari wa mbele kwenye masuala gani?
Muroto ile asubuhi alisemaje kwani? Kwa Ndugai na mkwewe Lijuakali pamoja na Msukuma wanageuka kuwa Polisi?
Hili tukio kuna kitu kikubwa kinaenda kutokea ambacho hakitegemewi na hii ni spining yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu nimesema sio huru?Mkuu Hiki kitu kikubwa huwa mnakisema kila Mara lakini hakitokei kwanini? Tanzania ni nchi huru nyie endeleeni kusubiri kitu kikubwa kutokea
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mshana una hoja ya kweli.Hutaki aingilie wakati kila wakati unapokea misaada na mikopo yake? Ina maana Mbowe ni mjinga mpaka ajisingizie kupigwa wakati kaumia mwenyewe?
Msitumie nguvu nyingi kuzima hili jambo wakati utasema
Eti kiongozi wa kambi ya upinzani!!! Anawezaje kwenda bar kulewa mpaka usiku wa manane tena bila hata ya kuwa mlinzi? Huu ni ujuha wa kupitiza . Alijitakia mwenyewe kushambuliwa . Pungezeni kulalamika.
.Chadema ni kama timu ya mpira; unaweza kuifuta ila uwezi kuifuta mashabiki wake.Nimesema ikitokea sasa matusi ya nini jamani!!!Tena na chadema ifutwe ikitokea hivyo
Kwani Nyie ubarozi Wenu Uko Marekani Mmezuiwa kuliongelea Swala la George Flyord?Mwambie George floyd amezikwa kwanza au anareta domo tu ...uko Marekani kumewaka taa bango liko kubwa sana mbona ajiongeleshi........au huyu mbowe yeye alitoka naye moshi.....???
Tunataka aongelee kwake hizo mambo zao nini kinamuwasha au ndio tayari kashapata yutiyai ya kwa hisani ya mpalange.........i thoughts this woman she is hopeless who needed to get advices.....why she always talk nonsenses without evidence
Ni upumbavu kudhani anaetuhumiwa yeye ndio awe mchunguzi halafu atoe majibu yanayom-incriminate!
No one will believe anything the government investigate!
Serikali hiyo hiyo ndio inayotuhumiwa!
Watoe majibu sasa hivi....no one will listen upupuu!
Ku-deal na upinzani sio kitu rahisi maana ni opposition to the government,wako katika equal footing,mtakachochunguza ni umama mtupu...
Solution in independent investigation ambapo serikali itakataa maana watashikwa!
Fvck the government!
"Every government in the world is inherently evil----Bob Marley"!
UnafeliUkifikiri kwa kutumia ubongo huta sita kufahamu kuwa kila sovereign state ina sheria na utaratibu wake wa kujitawala, kusimamia sheria na kuchunguza bila ya kuingiliwa na nchi nyingine.
Tukiendekeza ujinga ya kushobokea vya ughaibuni hata kwa mambo madogo itatufikisha mahala hata uchunguzi wa tuhuma ya fumanizi tutataka ufanywe na mataifa ya nje!
Kuzoroto kwa mvuto wa chama kusiwatie upofu, wajitahidi kuangalia wapi walipobugi ili wajirekebishe, badala ya kuzua matukio ya kulaghai watu kwa kutegemea kupata huruma za wananchi.
Huyu mwanamke amekuwa mstari wa mbele kuishutumu serikali yetu katika mambo ambayo hana uhakika nayo na kuleta taharuki juu ya nchi yetu.
Amevunja mkataba, kanuni na universal convention ya kutoingilia mambo ya ndani ya nchi anayoiwakilisha.
Katika tukio la Mbowe, ikitokea ripoti ikaonyesha Mh. Mbowe hakushambuliwa bali ni ajali ya kawaida, napendekeza balozi huyu afukuzwe nchini ndani ya 24 hours.