Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

Chakula cha Ukraine hasa ngano na pia mbolea nyingi asilimia kubwa zinauzwa Asia na Africa,sasa kwa akili yako ndogo ndio utaelewa nani anaeumia.
Nakwaasilimia ndogo kinauzwa wapi MKUU mwaka huu ULAYA wanalo walizoea kuiba NAFAKA toka UKRAINE sasa imekula kwao
Sisi Afrika na Asia watuache tulilie wenyewe hatutaki kuliliwa naumbwa yeyote
PUT IN kamatia hapo hapo ulipokamatia usiachie!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kuna utaratibu gani wa kufukuza nchi kwenye umoja wa Mataifa hawa Russia inabidi waondoshwe
Nendeni mkawaondoshe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama UK FRANCE nashosti zake wengine walipinga unadhani linawezekana
Kiufupi tu waza wazo jengine hilo lisahau kabisa akilini mwako
RUSSIA kamatia hapo hapo ulipokamatia maana mpaka wazungu weusi kule Afrika wanalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba tusiposhangilia atacha kuisambaratisha!!!??
Ila tunashangilia sababu kule RUSSIA anafanua Oparation yake maalum yakufuta magaidi ya kinazi yenye misimamo mikali nayakufurutu ada
Yaani nihv bora upange ama ukae mtaa mmoja na Alshabab ama boko haram unaweza ukakaa kwaamani na ukatulia kuliko hayo MANAZI yanayouliwa na RUSSIA
Tunasema RUSSIA aachwe aendeleze OP yake naafikie malengo yake tumuombeeni ayafikie tuwe nae bega kwabega

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwakuteseka
Ila UKRAINE apigwe mpaka akili imkae sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wazungu ni wajinga sana. Sasa hivi hoja ya chakula imewabana ila cha ajabu wanataka kuiaminisha dunia eti wanaoathirika ni mataifa yanayoendelea.

Huu siyo ukweli, Ulaya kuna mfumuko mkubwa wa bei kwasababu ya vita ila wanajificha nyuma ya Afrika kama kisingizio.
 
Kabisa MKUU huko EUROPE hali tete mnooo na jamaa kama wanakaa na hali hii mpaka miezi mitatu ijayo lazima EUROPE kitawaka
Acha tuone ila RUSSIA safari hii kawakamata!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mmarekani kipindi anaenda kuwauwa sadam na gadaff sababu za msingi zilikuwepo acheni double standard mrusi piga ulaya yote kwa nuclear tu
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Kaa Kwa kutulia , nyie sindio Huwa mnaambiana humu kuwa USA ni super power Russia hana kitu na hakuna madhara yoyote atakavyo leta


Africa itadhurika vipi Sasa wakati boss wenu USA yupo atatupatia msaada
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeskia wapi umoja wa Africa au Asia wakilalamika njaa?

Njaa wanalalamika walioshikwa korodani uko ulaya na magharibi[emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16] hata tukifikwa na njaa boss wao USA siyupo ata tulisha wao sihuwaga Wana sema bila USA Duniani mambo haya wezi kwenda salama , Sasa wasi wasi wao wanini !?
 
Big eeeimen [emoji38][emoji38][emoji38]

Piga haaoooo
 
Kabisa MKUU huko EUROPE hali tete mnooo na jamaa kama wanakaa na hali hii mpaka miezi mitatu ijayo lazima EUROPE kitawaka
Acha tuone ila RUSSIA safari hii kawakamata!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaumia hasa. Bora sisi tunaweza kuishi kwa mihogo. Wao wanaitegemea Urusi kwa asilimia kubwa mno.
 
Watu wamechoka una utawala wa bwege wa muamerika anajifanya kiranja wa dunia sasa acha dawa imuingie

Sent from my JNY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…