Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwaasilimia ndogo kinauzwa wapi MKUU mwaka huu ULAYA wanalo walizoea kuiba NAFAKA toka UKRAINE sasa imekula kwaoChakula cha Ukraine hasa ngano na pia mbolea nyingi asilimia kubwa zinauzwa Asia na Africa,sasa kwa akili yako ndogo ndio utaelewa nani anaeumia.
Nendeni mkawaondoshe[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Kuna utaratibu gani wa kufukuza nchi kwenye umoja wa Mataifa hawa Russia inabidi waondoshwe
Kwamba tusiposhangilia atacha kuisambaratisha!!!??Hivi mnaoshabikia, hebu nipeni sababu moja ya msingi ya kufurahia yanayoendelea Ukraine? Kwa sababu yoyote ile, Russia haina sababu ya msingi ya kuisambaratisha Ukraine na kuua raia wengi namna hiyo eti kuonyesha nguvu zake. Hata akishinda hii vita, atamtawala nani na nchi gani, ambapo kila kitu kitakuwa chini. Pia wanajeshi kibao wa urusi wamepoteza maisha, nyie mnashangilia tu! Shame!
Kwakweli hawana wanalolijua zaidi ya kelele tuuuuuNdio maana mnatuandikia ujinga humu maana hata Geopolitics ninyi ni weupe mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwakutesekaHao ni
Hao ni wale wanaoendeshwa na chuki za kidini kwani kwao popote pale anapounga mkono Marekani wao watapinga tu kwa kile wanachoona kwamba ni Marekani kuzuia mpango wao wa "Global Jihad Mission" iliyopelekea kuundwa kwa vikundi kadhaa vya kigaidi ili kukidhi hilo lengo.
Wao leo hii hata Tanzania ikosane na Kenya halafu Marekani iwe upande wa Tanzania hao jihadists moja kwa moja watakuwa upande wa Kenya bila hata kujali uzalendo.
Leo hii watu wenye imani sawa na wao wananyanyaswa vibaya huko China na India pia tumesikia lakini hutawasikia katu wakilaumu China au India lkn ingekuwa Marekani, Israel au Uingereza hadi server ya huu mtandao ingepasuka kwa maoni yao ya kulaani na wangetangaza (Fatwa) kabisa.
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani
Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya kibinadamu ikiwemo ukatili wa kingono. Akizungumza moja kwa moja na Nebenzia wakati akitoka nje, Kiongozi huyo alisema, "Unaweza kutoka nje, huenda ni rahisi zaidi kutosikiliza ukweli"
Nebenzia amenukuliwa akisema alishindwa kuendelea kukaa kwenye kikao hicho kwasababu ya uongo uliokuwa ukisambazwa dhidi ya Taifa lake
========
Russia's U.N. Ambassador Vassily Nebenzia stormed out of a U.N. Security Council meeting on Monday as European Council President Charles Michel addressed the 15-member body and accused Moscow of fueling a global food crisis with its invasion of Ukraine.
Michel had also accused Russian troops of war crimes and crimes against humanity, specifically citing reports of sexual violence - the focus of the Security Council meeting - and describing it as "a tactic of torture, terror and repression."
During his own statement earlier in the meeting, Nebenzia had "categorically refuted" any accusations of sexual violence by Russian soldiers, condemning what he said was a "lie."
As he left the Security Council chamber during Michel's statement, a visibly irritated Nebenzia told Reuters: "I couldn't stay" because of "the lies that Charles Michel came here to distribute."
Speaking directly to Nebenzia as he walked out, Michel said: "You may leave the room, maybe it's easier not to listen to the truth."
Russia's Feb. 24 invasion of Ukraine has fueled a global food crisis with prices for grains, cooking oils, fuel and fertilizer soaring. Russia and Ukraine account for nearly a third of global wheat supplies, while Russia is also a fertilizer exporter and Ukraine is an exporter of corn and sunflower oil.
"Mr. Ambassador of the Russian Federation, let's be honest, the Kremlin is using food supplies as a stealth missile against developing countries," Michel said in the Security Council. "Russia is solely responsible for this food crisis."
U.N. Secretary-General Antonio Guterres is trying to broker what he calls a "package deal" to resume Ukrainian food exports and Russian food and fertilizer exports. Russian Foreign Minister Sergei Lavrov is due to visit Turkey on Wednesday to discuss unlocking grain exports from Ukraine.
Source: Reuters
Kabisa MKUU huko EUROPE hali tete mnooo na jamaa kama wanakaa na hali hii mpaka miezi mitatu ijayo lazima EUROPE kitawakaWazungu ni wajinga sana. Sasa hivi hoja ya chakula imewabana ila cha ajabu wanataka kuiaminisha dunia eti wanaoathirika ni mataifa yanayoendelea.
Huu siyo ukweli, Ulaya kuna mfumuko mkubwa wa bei kwasababu ya vita ila wanajificha nyuma ya Afrika kama kisingizio.
Ila mmarekani kipindi anaenda kuwauwa sadam na gadaff sababu za msingi zilikuwepo acheni double standard mrusi piga ulaya yote kwa nuclear tuHivi mnaoshabikia, hebu nipeni sababu moja ya msingi ya kufurahia yanayoendelea Ukraine? Kwa sababu yoyote ile, Russia haina sababu ya msingi ya kuisambaratisha Ukraine na kuua raia wengi namna hiyo eti kuonyesha nguvu zake. Hata akishinda hii vita, atamtawala nani na nchi gani, ambapo kila kitu kitakuwa chini. Pia wanajeshi kibao wa urusi wamepoteza maisha, nyie mnashangilia tu! Shame!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38] Kaa Kwa kutulia , nyie sindio Huwa mnaambiana humu kuwa USA ni super power Russia hana kitu na hakuna madhara yoyote atakavyo leta
Africa itadhurika vipi Sasa wakati boss wenu USA yupo atatupatia msaada
[emoji1][emoji1]mshike mshike ndege tunduniUmeskia wapi umoja wa Africa au Asia wakilalamika njaa?
Njaa wanalalamika walioshikwa korodani uko ulaya na magharibi[emoji28]
[emoji3526][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] hata tukifikwa na njaa boss wao USA siyupo ata tulisha wao sihuwaga Wana sema bila USA Duniani mambo haya wezi kwenda salama , Sasa wasi wasi wao wanini !?Umeskia wapi umoja wa Africa au Asia wakilalamika njaa?
Njaa wanalalamika walioshikwa korodani uko ulaya na magharibi[emoji28]
Mzee kapiga U-turn nakwambia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji119]Mzee wao anawageuka Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
haisaidii, huko ni kukimbia matatizo.Hata ningekua mimi ningetoka nje
Big eeeimen [emoji38][emoji38][emoji38]Kwamba tusiposhangilia atacha kuisambaratisha!!!??
Ila tunashangilia sababu kule RUSSIA anafanua Oparation yake maalum yakufuta magaidi ya kinazi yenye misimamo mikali nayakufurutu ada
Yaani nihv bora upange ama ukae mtaa mmoja na Alshabab ama boko haram unaweza ukakaa kwaamani na ukatulia kuliko hayo MANAZI yanayouliwa na RUSSIA
Tunasema RUSSIA aachwe aendeleze OP yake naafikie malengo yake tumuombeeni ayafikie tuwe nae bega kwabega
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa MKUU huko EUROPE hali tete mnooo na jamaa kama wanakaa na hali hii mpaka miezi mitatu ijayo lazima EUROPE kitawaka
Acha tuone ila RUSSIA safari hii kawakamata!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamechoka una utawala wa bwege wa muamerika anajifanya kiranja wa dunia sasa acha dawa imuingieHao ni
Hao ni wale wanaoendeshwa na chuki za kidini kwani kwao popote pale anapounga mkono Marekani wao watapinga tu kwa kile wanachoona kwamba ni Marekani kuzuia mpango wao wa "Global Jihad Mission" iliyopelekea kuundwa kwa vikundi kadhaa vya kigaidi ili kukidhi hilo lengo.
Wao leo hii hata Tanzania ikosane na Kenya halafu Marekani iwe upande wa Tanzania hao jihadists moja kwa moja watakuwa upande wa Kenya bila hata kujali uzalendo.
Leo hii watu wenye imani sawa na wao wananyanyaswa vibaya huko China na India pia tumesikia lakini hutawasikia katu wakilaumu China au India lkn ingekuwa Marekani, Israel au Uingereza hadi server ya huu mtandao ingepasuka kwa maoni yao ya kulaani na wangetangaza (Fatwa) kabisa.
Kwani Russia anapigana na Marekani au ni bangi tu ndio imekolea.Watu wamechoka una utawala wa bwege wa muamerika anajifanya kiranja wa dunia sasa acha dawa imuingie
Sent from my JNY-LX1 using JamiiForums mobile app