Balozi wa Uturuki: Shule za Feza zinaidanganya Tanzania, naamini Serikali itachukua hatua

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,335
EXPLAINER: Why Turkish ambassador to Tanzania @mgulluoglu made comments against Feza schools Several African states, including Tanzania, have rejected Turkey's request to close schools linked to cleric Fethullah Gülen, who is accused of involvement in Turkey's failed 2016 coup

feza.jpg

Pia soma
 
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mehmet Güllüoglu @mgulluoglu amesema kwamba Shule za Feza (wamiliki wake ni raia wa Uturuki) zinaidanganya Tanzania.

Amesema misaada inatumika kama uwekezaji binafsi na kueleza anaamini serikali ya Tanzania itachukua hatua.

====

Screenshot_20220116-095950_Firefox.jpg

Screenshot_20220116-100025_Firefox.jpg
 
Alilolisema balozi hata Boss wake alimwambia Marehemu Magufuli Kama sikosei. Tambua hayo ni ya kwao huko sisi hayatuhusu madhali wanafuata sheria ya nchi wafungiwe ili iweje? Nitashangaa kama huyu balozi atasikilizwa na uongozi wa nchi yetu kwa Sasa maana Boss wake alitolewa nje kiaina na Hayati. Hiyo ya kuwa ni waturuki ndio umeisikia leo? Au hutaki waturuki kuwekeza Tanzania? Sijakuelewa
 
Kuna sentence umeicha
For profit of murderers maanake wamiliki NI kikundi Cha magaidi ama?
 
Umiliki wa Feza unahusishwa na Kiongozi wa kiroho Bw.Fethullah Gulan aliye uhamishoni nchini Marekani.Huyu bwana na Rais Erdogan ni paka na panya.Rais Erdogan akimshutumu ndiye aliyepanga jaribio lililoshindikana la kimapinduzi mwaka 2016.Huu ni mwendelezo wa Serikali ya Uturuki kufuatilia kila mtu,uwekezaji ama chochote chenye ushirika/kinachohusishwa naye..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kuna shule ipo Mbweni inaitwa Shamsia pamoja na hizo Feza Schools zinamilikiwa na Waturuki.

Inasemekana wamiliki wanna Uhusiano na kiongozi wa jaribio la mapinduzi ya Serikali ya Uturuki.

Wakati fulani walijaribu kurekebisha umiliki Ili kufuta ushahidi wa Uhusiano na kiongozi wa mapinduzi ya Serikali ya Uturuki.

Sishangai kuona balozi anasema hivyo.

Serikali ya Tanzania isiingie mkenge
 
Alilolisema balozi hata Boss wake alimwambia Marehemu Magufuli Kama sikosei. Tambua hayo ni ya kwao huko sisi hayatuhusu madhali wanafuata sheria ya nchi wafungiwe ili iweje? Nitashangaa kama huyu balozi atasikilizwa na uongozi wa nchi yetu kwa Sasa maana Boss wake alitolewa nje kiaina na Hayati. Hiyo ya kuwa ni waturuki ndio umeisikia leo? Au hutaki waturuki kuwekeza Tanzania? Sijakuelewa
kinachonishangaza huyo balozi anataka nini hasa
 
Umiliki wa Feza unahusishwa na Kiongozi wa kiroho Bw.Fethullah Gulan aliye uhamishoni nchini Marekani.Huyu bwana na Rais Erdogan ni paka na panya.Rais Erdogan akimshutumu ndiye aliyepanga jaribio lililoshindikana la kimapinduzi mwaka 2016.Huu ni mwendelezo wa Serikali ya Uturuki kufuatilia kila mtu,uwekezaji ama chochote chenye ushirika/kinachohusishwa naye..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Duh
 
kinachonishangaza huyo balozi anataka nini hasa
Hizi shule zifungwe kwa amri ya boss wake na yeye kafikisha salam ki utu uzima maana wameona tangu watoe ombi hilo hakuna lililofanyika nchini. Naomba waendelee kutokusikilizwa hivyo hivyo
 
duh mbona kazi hii
 
Maana yake ni sisi tupime, kipi muhimu kati ya kuwa na hizi shule hapa TZ na kuwa na uhusiano mzuri na Uturuki.
Rais Edogan alivyonusurika kupinduliwa aliendesha oparesheni kali dhidi ya waasi na ikabainika hawa wenye shule ni wafadhili wa waasi. Anachotaka ni kukata mirija yao ya fedha
 
Kuna shule ipo Mbweni inaitwa Shamsia pamoja na hizo Feza Schools zinamilikiwa na Waturuki.

Inasemekana wamiliki wanna Uhusiano na kiongozi wa jaribio la mapinduzi ya Serikali ya Uturuki.

Wakati fulani walijaribu kurekebisha umiliki Ili kufuta ushahidi wa Uhusiano na kiongozi wa mapinduzi ya Serikali ya Uturuki.

Sishangai kuona balozi anasema hivyo.

Serikali ya Tanzania isiingie mkenge
JF inapata heshima kwa watu wanaojua mambo kama hivi. Safi sana chief
 
Back
Top Bottom