Balozi wa Uturuki: Shule za Feza zinaidanganya Tanzania, naamini Serikali itachukua hatua

Balozi wa Uturuki: Shule za Feza zinaidanganya Tanzania, naamini Serikali itachukua hatua

Balozi Acha wivu mwanzilishi wa shule za feza duniani yupo kinyume na government ya uturuki.Acha kuingiza siasa zenu za uturuki kwenye masuala ya elimu yetu.
Acha watz wapate connection
 
tunajua fika kuwa wamiliki wa hiyo shule hawana mahusiano mazuri na Rais wa Turkey, sasa kivyovyote vile balozi wa Uturuki ni mtu wa serikali na tuliambiwa kuwa wanatamani miradi ya hao wamiliki inakufa.
 
Feza wanapelekwa watoto wa vigogo wakati fedha za kusomeshea na kuendesha maisha yao zinatoka kwa maskini.

Lakini sio mbaya sana, hivi karibuni alinukuliwa kiongozi mmoja wa juu kabisa akisema. Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake!!
FB_IMG_1626511276647.jpg
 
Feza wanapelekwa watoto wa vigogo wakati fedha za kusomeshea na kuendesha maisha yao zinatoka kwa maskini.

Lakini sio mbaya sana, hivi karibuni alinukuliwa kiongozi mmoja wa juu kabisa akisema. Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake!!View attachment 2083759
kila mbuzi ale kwa urefu kamba yake hiyo ndiyo kauli mbiu ya sasa[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom