Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ujue wanaozirudisha wana maana yao na hawaiweki wazi
Umasikini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue wanaozirudisha wana maana yao na hawaiweki wazi
Heshima yako ndugu. Ni faida kupata watu wanaojua Mambo hiviUmiliki wa Feza unahusishwa na Kiongozi wa kiroho Bw.Fethullah Gulan aliye uhamishoni nchini Marekani.Huyu bwana na Rais Erdogan ni paka na panya.Rais Erdogan akimshutumu ndiye aliyepanga jaribio lililoshindikana la kimapinduzi mwaka 2016.Huu ni mwendelezo wa Serikali ya Uturuki kufuatilia kila mtu,uwekezaji ama chochote chenye ushirika/kinachohusishwa naye..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Agenda ya Uturuki, lengo sio kuonekana mtu wa dini bali kueneza dini na kuwapa watu wanachokitaka. Utawaona wapenda dini kama wewe unaona dini muhimu, utawaona ni msaada wako wakati wa vita, etc. Uturuki ilisambaza dini enzi za zamani. Waturuki kina Mehmet walipigana vita mpaka wakafikisha Uislamu Ulaya hadi nchini Spain. Wakatishia kuiteka Vatican wakafeli kwa kutumia nguvu badala ya akili.Na yeye Sasa hivi anajitadi sana kwenye dini
Mgalatia wacha wivuBalozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mehmet Güllüoglu @mgulluoglu amesema kwamba Shule za Feza (wamiliki wake ni raia wa Uturuki) zinaidanganya Tanzania.
Amesema misaada inatumika kama uwekezaji binafsi na kueleza anaamini serikali ya Tanzania itachukua hatua.
====
View attachment 2083188
View attachment 2083201
Umiliki wa Feza unahusishwa na Kiongozi wa kiroho Bw.Fethullah Gulan aliye uhamishoni nchini Marekani.Huyu bwana na Rais Erdogan ni paka na panya.Rais Erdogan akimshutumu ndiye aliyepanga jaribio lililoshindikana la kimapinduzi mwaka 2016.Huu ni mwendelezo wa Serikali ya Uturuki kufuatilia kila mtu,uwekezaji ama chochote chenye ushirika/kinachohusishwa naye..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
kwa stail hii inabid watu wajiongezeAgenda ya Uturuki, lengo sio kuonekana mtu wa dini bali kueneza dini na kuwapa watu wanachokitaka. Utawaona wapenda dini kama wewe unaona dini muhimu, utawaona ni msaada wako wakati wa vita, etc. Uturuki ilisambaza dini enzi za zamani. Waturuki kina Mehmet walipigana vita mpaka wakafikisha Uislamu Ulaya hadi nchini Spain. Wakatishia kuiteka Vatican wakafeli kwa kutumia nguvu badala ya akili.
Uturuki ina historia iliyoshuba na sasa hivi wanatamani kurudisha heshima yao. Walianza wakiwa centre of Byzantine Empire baada ya Roman Empire kudondoka, wakaja kuwa centre of Ottoman empire. Hata mji wao mkubwa na wa kihistoria wa Constantinople una asili ya dini mbili Ukristo na Uislamu. Nadhani unasema anajitahidi kwenye dini kwa sababu alirudisha msikiti wa Hagia Sofia kwa Waislamu. Hilo ni kosa la kihistoria alifanya kufurahisha raia, hana mwamko wowote wa kidini.
Viongozi wengi huko duniani hawana muda na mambo ya dini, ni kutafuta popularity kama kuitwa Chifu Hangaya. Saudi Arabia pale hawafatili dini kabisa na kuswali yawezekana hawaswali wale. Unahisi kwanini members wengi wa familia ya kifalme wanamiliki majumba ya kifahari Ulaya hasa Ufaransa kwenye raha, tena majumba yamejitenga uko ni sababu kule wako free kufanya mambo ya ajabu ajabu yasiyopatikana kwao kisa sheria na watu watanionaje. Syria pale Assad havai kanzu ni mwendo wa suti kali slim fit nyeusi hata mke wake hafuniki nywele mara nyingi tu. Wananchi ndio wanakesha msikitini
na siku zote watu wenye nguvu huwa wapo vizur kifedha[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Umenena vizuri kabisa.
Uhasimu wa kisiasa kati ya Rais wa Uturuki na mfanya biashara na mwanasiasa maarufu wa upinzani wa Uturuki Gulan, ndio maana balozi wa Uturuki kasema hivyo, sbb balozi ni kibaraka wa serikali ya Rais Erdogan, hivyo serikali ya Erdogan inataka kumfikisi mali za Gulan kokote kule duniani, ila imeshindwa.
Ya dini yametoka wapi? Nimekujibu hoja yako, pls usiniharibie siku,Agenda ya Uturuki, lengo sio kuonekana mtu wa dini bali kueneza dini na kuwapa watu wanachokitaka. Utawaona wapenda dini kama wewe unaona dini muhimu, utawaona ni msaada wako wakati wa vita, etc. Uturuki ilisambaza dini enzi za zamani. Waturuki kina Mehmet walipigana vita mpaka wakafikisha Uislamu Ulaya hadi nchini Spain. Wakatishia kuiteka Vatican wakafeli kwa kutumia nguvu badala ya akili.
Uturuki ina historia iliyoshuba na sasa hivi wanatamani kurudisha heshima yao. Walianza wakiwa centre of Byzantine Empire baada ya Roman Empire kudondoka, wakaja kuwa centre of Ottoman empire. Hata mji wao mkubwa na wa kihistoria wa Constantinople una asili ya dini mbili Ukristo na Uislamu. Nadhani unasema anajitahidi kwenye dini kwa sababu alirudisha msikiti wa Hagia Sofia kwa Waislamu. Hilo ni kosa la kihistoria alifanya kufurahisha raia, hana mwamko wowote wa kidini.
Viongozi wengi huko duniani hawana muda na mambo ya dini, ni kutafuta popularity kama kuitwa Chifu Hangaya. Saudi Arabia pale hawafatili dini kabisa na kuswali yawezekana hawaswali wale. Unahisi kwanini members wengi wa familia ya kifalme wanamiliki majumba ya kifahari Ulaya hasa Ufaransa kwenye raha, tena majumba yamejitenga uko ni sababu kule wako free kufanya mambo ya ajabu ajabu yasiyopatikana kwao kisa sheria na watu watanionaje. Syria pale Assad havai kanzu ni mwendo wa suti kali slim fit nyeusi hata mke wake hafuniki nywele mara nyingi tu. Wananchi ndio wanakesha msikitini
Maskini hajawahi fanikiwa kwa kumchukia tajiri, hata siku moja!Prof . Adolf Mkenda tembelea shule hii . Watanzania tunapigwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WEWE NI IBRAHIM PASHA??!