WEWE NI IBRAHIM PASHA??!Siasa zao wasizilete TZ,
Acha FEZA (mwekazaji) iendeshe shuguli zao bila bugudha. TZ inatakiwa kulinda interest za wawekezaji wote bila kuingiliwa na serikali za nchi husika.
kinachonishangaza huyo balozi anataka nini hasaAlilolisema balozi hata Boss wake alimwambia Marehemu Magufuli Kama sikosei. Tambua hayo ni ya kwao huko sisi hayatuhusu madhali wanafuata sheria ya nchi wafungiwe ili iweje? Nitashangaa kama huyu balozi atasikilizwa na uongozi wa nchi yetu kwa Sasa maana Boss wake alitolewa nje kiaina na Hayati. Hiyo ya kuwa ni waturuki ndio umeisikia leo? Au hutaki waturuki kuwekeza Tanzania? Sijakuelewa
DuhUmiliki wa Feza unahusishwa na Kiongozi wa kiroho Bw.Fethullah Gulan aliye uhamishoni nchini Marekani.Huyu bwana na Rais Erdogan ni paka na panya.Rais Erdogan akimshutumu ndiye aliyepanga jaribio lililoshindikana la kimapinduzi mwaka 2016.Huu ni mwendelezo wa Serikali ya Uturuki kufuatilia kila mtu,uwekezaji ama chochote chenye ushirika/kinachohusishwa naye..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Hizi shule zifungwe kwa amri ya boss wake na yeye kafikisha salam ki utu uzima maana wameona tangu watoe ombi hilo hakuna lililofanyika nchini. Naomba waendelee kutokusikilizwa hivyo hivyokinachonishangaza huyo balozi anataka nini hasa
JF inapata heshima kwa watu wanaojua mambo kama hivi. Safi sana chiefKuna shule ipo Mbweni inaitwa Shamsia pamoja na hizo Feza Schools zinamilikiwa na Waturuki.
Inasemekana wamiliki wanna Uhusiano na kiongozi wa jaribio la mapinduzi ya Serikali ya Uturuki.
Wakati fulani walijaribu kurekebisha umiliki Ili kufuta ushahidi wa Uhusiano na kiongozi wa mapinduzi ya Serikali ya Uturuki.
Sishangai kuona balozi anasema hivyo.
Serikali ya Tanzania isiingie mkenge