Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Pamoja mkuuJF inapata heshima kwa watu wanaojua mambo kama hivi. Safi sana chief
😂😂😂😂😂😂😂😂 wa buguruni auWEWE NI IBRAHIM PASHA??!
jamaa anataka kukomoaMaana yake ni sisi tupime, kipi muhimu kati ya kuwa na hizi shule hapa TZ na kuwa na uhusiano mzuri na Uturuki.
Rais Edogan alivyonusurika kupinduliwa aliendesha oparesheni kali dhidi ya waasi na ikabainika hawa wenye shule ni wafadhili wa waasi. Anachotaka ni kukata mirija yao ya fedha
mtu akishakuwa na kisasi hatar sana mzeeSasa ugomvi wao huko uturuki unahusiana vipi na watoto wetu kusoma hapo fedha. Kama anasema hizo pesa za kuendesha shule zinatokana na dhuruma ya hao waturuki akumbuke shule inatoza ada wanafunzi.
Sema ni kawaida shule nyingi humu ndani zinaendeshwa na mashirika ya nje wao wanafahamu wanasaidia kukuza elimu. Huku tunalipishwa ada
Kama hazikufungiwa tokea kipindi hicho sidhan kama watafanya hivyo sasa hv sababu zipo nyingi lakini nyingine watoto wengi wa vigogo wapo pale wanasomaMaana yake ni sisi tupime, kipi muhimu kati ya kuwa na hizi shule hapa TZ na kuwa na uhusiano mzuri na Uturuki.
Rais Edogan alivyonusurika kupinduliwa aliendesha oparesheni kali dhidi ya waasi na ikabainika hawa wenye shule ni wafadhili wa waasi. Anachotaka ni kukata mirija yao ya fedha
Embu nifafanulie mkuuAlilolisema balozi hata Boss wake alimwambia Marehemu Magufuli Kama sikosei. Tambua hayo ni ya kwao huko sisi hayatuhusu madhali wanafuata sheria ya nchi wafungiwe ili iweje? Nitashangaa kama huyu balozi atasikilizwa na uongozi wa nchi yetu kwa Sasa maana Boss wake alitolewa nje kiaina na Hayati. Hiyo ya kuwa ni waturuki ndio umeisikia leo? Au hutaki waturuki kuwekeza Tanzania? Sijakuelewa
jamaa kafanya makusudi kutest kuona serikali itasemaje tunaweza kuchukulia poa kumbe wajamaa wamejipanga kivingine nyakati zinabadilika sanaWamiliki wa Feza Schools ni kikundi chenye muunganiko na Fethullah Gulen, Mturuki anayeishi uhamishoni Marekani ambaye anahusishwa na jaribio la mapinduzi mwaka 2016 lililofeli.
Fethullah Gulen ni Mwislamu mwenye wafuasi wengi nchini Uturuki. Wakati Recep Tayyip Erdogan anatafuta kuungwa mkono aliomba msaada wa Gulen ili waumini wamkubali. Erdogan hana mambo ya dini sana kama viongozi wa Uturuki walivyo siku zote hasa baba wao wa taifa Mustafa Kemal Atatürk. Ndio maana Uturuki haina mambo ya dini dini na unaona wanapigilia suti hawana mambo ya kanzu.
Erdogan alipata msaada wa Gulen ambaye tuseme ni mgombea wa Zanzibar aungwe mkono na Sheikh Ponda kwa sasa. Erdogan alipopata maana yake Gulen akawa na nguvu kifedha na kiutawala. Akaanzisha vyuo vingi na shule, akasambaza Islamic movement (ambayo ni agenda ya Uturuki kitaifa). Akawapa connection watu kibao jeshini, vyuoni maprofesa, vyombo vya habari, wafanyabishara, usalama wa taifa, etc.
Hao watu sasa hivi wanaitwa Gulenists na wamefutwa sana kazi zao baada ya lile jaribio la mapinduzi. Erdogan alikuwa serious kiasi alisamehe wafungwa ili apate nafasi ya kufunga washiriki waliokuwa wengi. Majaji walifutwa, watu wakafukuzwa kazi, wanajeshi zaidi ya 10,000 waliwekwa ndani kusubiri uchunguzi.
Mojawapo ya shule za movement ya Gulen ni Feza sasa. Mwanzo zilianza ni agenda ya serikali kuongeza influence geopolitically ila Gulen akawa mtu mkubwa sana. Yani tufanye Sheikh Ponda (angekuwa msomi sana) alivyo na influence kidini, bado umuongeze awape watu connection kila idara, nao wawape watu connection anakuwa mtu hatari zaidi. Gulen aligundua ni threat kwa Erdogan anakimbilia Marekani ambao inasemekana walijua wakati anapanga jaribio.
Huyu balozi anatetea serikali yake iliyomuajiri ila kuna haja ya kutopuuza sio kwa Feza bali kwa miradi yote ya "msaada" kutoka kwa mataifa yenye ajenda binafsi.
kumbeHizo shule ni za raia wa Uturuki ni mhubiri wa dini ya kiislamu na mpinzani wa utawala wa Uturuki ndo maana serikali ya Uturuki inafanya kila jitihada hizo shule zifutwe.
Mwenye hizo shule wala sio gaidi bali ana misimamo isiyoyumba na serikali ya Uturuki inamtuhumu kwamba ndo alipanga jaribio la mapinduzi lililoshindwa.
Hao ni wawekezaji wazuri hapa nchini wanalipa kila aina ya kodi inayostahili kuliowa hatuwezi kuzuia mwekezaji kwasababu ya migogoro yao ya ndani.
Dogo yupo anasoma hapo ni shule nzuri mno kwakweli na wanatoa scholarship kwa wanafunzi wao kwenda kusoma Uturuki ama nchi za Ulaya baadae wanawaajiri ama kwenda popote wanapohitaji kwenda.
Hao ni wawekezaji wazuri tu wana shule nyingine inaitwa Shamsiye ipo Bunju ni miongoni mwa shule za feza schools.kumbe
AMESEMA PESA .ZA MSAADA NDIZO ZIMEWEKEZWA NA KUNUFAISHA WALIOZIIBA. Iwe .ni wajibu wetu tushirikiane na UTURUKI . Watueleze tufanye mini na UTURUKI ituhakikishie bila shakaa yoyote zilibwa ambazo TULIKUWA TUZIPATE KAMA MSAADA. Mwizi anakuwaga na PESA HALALI NA ZISIZO.Alilolisema balozi hata Boss wake alimwambia Marehemu Magufuli Kama sikosei. Tambua hayo ni ya kwao huko sisi hayatuhusu madhali wanafuata sheria ya nchi wafungiwe ili iweje? Nitashangaa kama huyu balozi atasikilizwa na uongozi wa nchi yetu kwa Sasa maana Boss wake alitolewa nje kiaina na Hayati. Hiyo ya kuwa ni waturuki ndio umeisikia leo? Au hutaki waturuki kuwekeza Tanzania? Sijakuelewa