Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kwa safu ya mama aliyopo nayo wengi wao wamekuwa wakilalamikiwa bungeni na wananchi kiujumla kuhusu ufisadi na utendaji wao kwenye wizara.
Nilimsikia waziri January Makamba kuhusu balozi zetu zilizopo zimekuwa zikighalimu pesa kwa ajili ya kupangisha eneo kwa ajili ya balozi zetu.
Wazo la Waziri Janaury ni zuri ila kwangu nazidi kupata mashaka kwake maana kama wizara ya nishati tu uliyofanya naweza kusema hata hapo unaweza kufanya hayo.
Je, katika kununua sehemu za balozi ni nani anayetakiwa kuwa msimamizi wa hayo majengo na iwe wazi na lisiwe wizara ya mambo ya nje. Liwe na idara ya usimamizi wa manunuzi wa majengo yote ya serikali za nje ya nchi.
Maana harufu ya kuongeza sifuri wakati yapo mbali ina nunikia?