Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Nimefika Qatar wamejaa watu kutoka Afrika hususani Kenya, Uganda, Ghana na Nigeria. Ukiwauliza wanasema taarifa waluzipata kupitia Balozi hapa Doha. Baadhi ya kampuni toka kwao zikaomba tenda zikapata ndo wakaleta watu wao. Sisi Sasa!ukifika hapo ubalozin ukaongea Kiswahili tu wananuna.Hivi vyeo wanapewa makada badala ya watu wenye uwezo
UVCCM wanapewa shukrani badala ya watu kuteuliwa kwa uwezo wao ni mambo ya ajabu sanaNimefika Qatar wamejaa watu kutoka Afrika hususani Kenya, Uganda, Ghana na Nigeria. Ukiwauliza wanasema taarifa waluzipata kupitia Balozi hapa Doha. Baadhi ya kampuni toka kwao zikaomba tenda zikapata ndo wakaleta watu wao. Sisi Sasa! ukifika hapo ubalozini ukaongea Kiswahili tu wananuna.
Tanzania Mabalozi waanze kuteuliwa toka sekta binafsi kujaza civil servants na wanasiasa ndio matokeo hayoNimefika Qatar wamejaa watu kutoka Afrika hususani Kenya, Uganda, Ghana na Nigeria. Ukiwauliza wanasema taarifa waluzipata kupitia Balozi hapa Doha. Baadhi ya kampuni toka kwao zikaomba tenda zikapata ndo wakaleta watu wao. Sisi Sasa!ukifika hapo ubalozin ukaongea Kiswahili tu wananuna.
Tunateua mabalozi wazee ndio sababu ya yote haya. Balozini wawekwe vijana tu, sasa unamteua brig mstaafu wa jeshi atafanya nini kule? wao kazi yao ni kuwa military atachee sio balozi, unakuta mzee kashajizeekea so anapachukulia hapo ni sehemu ya kupumzika badala ya kufanya kaziKuna siku niliwahi kuhoji vigezo vya uteuzi kwa hawa mabalozi sikupewa jibu lolote lenye mantiki zaidi ya kuwa kigezo kikuu ni kuwa kada wa CCM na uwe tayari kupokea maagizo yoyote toka serikalini.
Job description ya Balozi inafananaje?tunateua mabalozi wazee ndio sababu ya yote haya.balozini wawekwe vijana tu,sasa unamteua brig mstaafu wa jeshi atafanya nini kule ? wao kazi yao ni kuwa military atachee sio balozi,unakuta mzee kashajizeekea so anapachukulia hapo ni sehemu ya kupumzika badala ya kufanya kazi
Sijawahi kuiona mkuu,lakini ni wazi kwamba haiendani na mazingira ya sasa,kuna siku nimemsikia balozi fulani anamlalamikia Magufuli kwamba anakwamishwa na wizara yani balozi anapiga kazi lakini wizara haifanyi kazi kabisa.Job description ya Balozi inafananaje?
Slaa alikuwa kada wa ChademaKuna siku niliwahi kuhoji vigezo vya uteuzi kwa hawa mabalozi sikupewa jibu lolote lenye mantiki zaidi ya kuwa kigezo kikuu ni kuwa kada wa CCM na uwe tayari kupokea maagizo yoyote toka serikalini.
Slaa ni CCM ndio maana juzi alikua anatetea ile legacy ya kulindwa na mitutu.Slaa alikuwa kada wa Chadema
Ni tatizo la mfumo wetuKuna siku niliwahi kuhoji vigezo vya uteuzi kwa hawa mabalozi sikupewa jibu lolote lenye mantiki zaidi ya kuwa kigezo kikuu ni kuwa kada wa CCM na uwe tayari kupokea maagizo yoyote toka serikalini.