Balozi zetu toeni fursa kwa Wajasiriamali

Mkuu hao waliopo Doha Airport ni Kenyans and Ugandans
Serikali yao imewatafutia ajira
Mwanzo walikuwa wahindi ila wameondolewa wote

Ila nawakubali sana walivyo na nidhamu ya kazi
Yaani hawaongei pamoja zaidi ya kazi na hata ukiwasalimia kiswahili wanajibu moja tu

Sasa peleka wa bongo hapo sijui?
 
Balozi zetu nyingi ni ofisi za wakoloni weusi wasiojua hata walichotumwa kufanya huko ughaibuni. Wengi wa maafisa wake ni wa hovyo na washamba sina mfano. Mfano, waulize idadi ya watanzania wanaoishi kwenye nchi wanayotuwakilisha, hawatakupa jibu la maana wala lenye kubeba ukweli.
 
Mabalozi wetu wenyewe njaa kweli kweli. Wengine huamua kuwa wahamiaji wa nchi wanazotuwakilisha mpaka kununua nyumba za kuishi na familia zao Maryland wakishastaafu.
 
Mabalozi wetu wenyewe njaa kweli kweli. Wengine huamua kuwa wahamiaji wa nchi wanazotuwakilisha mpaka kununua nyumba za kuishi na familia zao Maryland wakishastaafu.
1. Kwani wanavunja sheria yoyote Kwa kufanya hivyo?
2. Balozi Mwenye Njaa ananunua Tena nyumba ughaibuni?
 
Mwambieni Mama kule Washington,Marekani hamna Balozi mule,ingieni muone utopolo anao-post kule LinkedIn,kajigeuza yeye journalist.
China tunae Balozi, angalau wangefuata nyayo za Balozi Kairuki,yule jamaa ana vision,anajua kazi yake.Natamani Mama angempa Ubunge na kumteua Waziri wa mambo ya Nje, ataweza kuibadilisha Ile wizara.
 
Hii picha ya ugali kitimoto umeipost wewe sheik?. πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜³πŸ™„.
Anyways, fursa zipo na zinatoka kwa connections nowdays.
 
1. Kwani wanavunja sheria yoyote Kwa kufanya hivyo?
2. Balozi Mwenye Njaa ananunua Tena nyumba ughaibuni?
Hawavuni sheria ila hiyo ndiyo reflection ya interests zao. Balozi njaa haina maana hana pesa, bali ni balozi ambaye anachumia tumbo tu,. Hayuko pale kufanya majukumu ya kibalozi kwa interest za wanachi wa nchi yake kweli bali anajali interets zake yeye binafsi tu.
 
Wewe ambae huchumii Tumbo umeanzisha viwanda vingapi nchini kusaidia wazalendo/Wanyonge?
 
Wewe ambae huchumii Tumbo umeanzisha viwanda vingapi nchini kusaidia wazalendo/Wanyonge?
Swali la kijinga hili; mimi siyo balozi: sijawahi kutumwa kwenda kuiwakilisha nchi sehemu yoyote na wala sijawahi kulipwa kwa kutumia kodi ya watanzania katika kuendesha maisha yangu.
 
Swali la kijinga hili; mimi siyo balozi: sijawahi kutumwa kwenda kuiwakilisha nchi sehemu yoyote na wala sijawahi kulipwa kwa kutumia kodi ya watanzania katika kuendesha maisha yangu.
Basi kama si Balozi tuliza mshono. Yaani watu wasifurahie maisha kisa ubalozi? Punguza wivu, walaumu walezi wako. Nyie ndo Balozi akistaafu, halafu kachoka mnamcheka Tena. Watu washashtuka Sasa Ni mwendo wa kulamba asali mpaka kustaafu
 
Wewe utakuwa ni mmoja wa mabalozi au ni familia ya kibalozi ambao hamjui majukumu yenu kwa nchi. Wananchi wakilaumu ubovu wa huduma za kibalozi mnaona wanawaonea wivu. Ndio urefu wa kamba zenu huo, siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…