Balozi zetu toeni fursa kwa Wajasiriamali

Hata usalama wa taifa wa wenzetu wapo bize kuiba taarifa za fursa za uwekezaji ugenini kwa manufaa ya wananchi wao. Leo wachina wanaiba KILA sehemu sababu ya msaada wa taarifa toka vyombo vyao. Hawa wapo bize kuiba kura badala ya taarifa za fursa.
 
Tufungue balozi huko Bahrain, Indonesia, Pakistan, Afghanistan, Tajikistan ili tuchote fursa za kibiashara
 
BONGO roho mbaya sana na visokrokwinyoooo
 
Kwa Tanzania kazi ya ubalozi ni kazi ya adhabu ya mtu ambaye ameshindwa labda jeshini/Wizarani au sehemu yoyote anapewa ubalozi kama adhabu hivyo hawezi kuwa na ubunifu wowote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…