Bananga: Jana nimeongea na Makonda sasa yupo Arusha, amemaliza likizo yake

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.

Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa wamemzoe kumuana katika majukumu yake.

Soma Pia:

Inawezekanaje mtu maarufu kuishi kimya muda wote asionekane na watu ambao wangesema tumemuona sehemu fulani.

Tukaambiwa yuko sauzi kimatibabu mara Dubai.

Uwezo wetu wa kurizon on average kitaifa itakuwa ni ndogo sana ndio maana ni rahisi kupewa habari ya uongo bila kuirizon na tukaikubali kirahisi.
 
Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.

Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa wamemzoe kumuana katika majukumu yake.

Soma Pia:

Makonda kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa hata mwaka haujapita anawezaje kupata likizo ndefu kiasi hicho. Waseme tu alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini ....!!?
 
Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.

Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa wamemzoe kumuana katika majukumu yake.

Soma Pia:
Huyo ni muongo, kwanza yeye ni Katibu mwenezi wa Dar sio Arusha pili Makonda sio Mtumishi wa CCM kwani kwa sasa Makonda ni kiongozi wa umma hivo mwenye kutuambia Makonda anarudi kutoka likizo ni RAS, Kama alivyosema kuwa Makonda yupo likizo..Huenda mambo ya jiwe ya kuficha UGONJWA kumbe mtu alishakufa zamani yakawepo awamu hii.
Watu wanaficha UGONJWA kama uhalifu.
 
Attachments

  • 20240729_103428.jpg
    20240729_103428.jpg
    867.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom