Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.
Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa wamemzoe kumuana katika majukumu yake.
Soma Pia:
Huyo ni muongo, kwanza yeye ni Katibu mwenezi wa Dar sio Arusha pili Makonda sio Mtumishi wa CCM kwani kwa sasa Makonda ni kiongozi wa umma hivo mwenye kutuambia Makonda anarudi kutoka likizo ni RAS, Kama alivyosema kuwa Makonda yupo likizo..Huenda mambo ya jiwe ya kuficha UGONJWA kumbe mtu alishakufa zamani yakawepo awamu hii.Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.
Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa wamemzoe kumuana katika majukumu yake.
Soma Pia:
Siku anaondoka alikuwa hivi jee sasa yukojeMakonda anavyopenda kamera angekuwa mzima c tungemuona tu