Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Wakuu,
Duniani kuna watu na viatu, Bananga aamua kuwa mtu.
=====
Nadeclare interest
Mimi ni mshabiki wa diamondplatnumz
Nitapiga kura
Nitaomba kura kwa ajili yake
Kwangu mm michezo, muziki na starehe hazina itikadi.
Huwa nachagua vita vya kupigana
Vita ndogo ina gharama kubwa kama hupigani kwa tahadhari.
Sio lazima nile kware wakati nina kuku
Wajibu wangu kisiasa ni mkubwa kuliko kumuombea mabaya mtanzania anayejiinua.
Kama humuungi mkono waachie wanaomuunga.
Waliotuangusha kwenye game ya siasa ni wengi hasa sisi wenyewe ndani.
Nihame @simbasctanzania kisa Mfadhili @moodewji ni CCM?
Huko nimevuka.
Twendeni na Platnumz BET
Ni mtazamo wangu nabaki nao
Nami naheshimu wako