Bananga kumpigia kura Diamond

Bananga kumpigia kura Diamond

Wasiompenda Dimond sahivi matumbo ya kuhara yamewashika kwa chuki binafsi.
Hongera Ally Bananga.
 
Tamko la Lisu ni tamko la chadema..

Au umesahau kama Lisu ni makamu mwenyekiti?

Akili umepeleka wapi bavicha?
Kwa hio tamko la wema sepetu ni la ccm? Kwa vile wema ni mgombeawa ccm pia
 
Sana sana matusi tu! Kumbuka OCD wa Hai alimweleza nini Mbowe 2020 wakati wa kampeni na nyie mlijifaraguaje hapa Ukumbini kwa chadema ya

Unaweza kujibu kwa nini ccm hawataki tume huru ya uchaguzi?
 
Kumbuka pamoja ramli zote mlizopiga toka mwaka 2015 dhidi yake lakini anazidi kichana mbuga
Uwezo wako wa kuchanganua ni mdogo sana ndio maana hata mzee wa degree nne alikuwa anakudharau.
Diamond hapingwi kwa sababu kuwa CCM, mbona Marehemu Komba alikuwa ccm na kaimbia sana chama lakini hakuchukiwa? Alikuwa kazini kwenye chama chake na hakutetea watu Individuals makatili na wauaji kwa gharama ya sanaa yake kama huyo kijana.
Hiyo ndio point wanayo miss wengi wenu, huwezi kumtetea Makonda katikati ya tuhuma za kuteka na kipoteza watu ukategemea uungaji mkono, NEVER
 
Hawa CHADEMA wamekomaa kifikra...demokrasia.... Wanatofautiana wazi bila unafiki...na kukubaliana mambo muhimu kwa uwazi. Ningependa CCM waige,,maana baada ya kifo cha JPM...ona yanayotokea...close circle yake wanavyoparurana...uwazi haupo
Kwenye siasa tupo na democrasia yake, kwenye michezo na muziki vivyo hivyo. Mtu asikupangie UHURU WAKO WA MAWAZO, BALI AKUSHAURI KWA HOJA TU
 
Mkuu una hoja. Umetoa darasa kiasi kwamba huhitaji kuwa na elimu ya cheti kuelewa.
Uwezo wako wa kuchanganua ni mdogo sana ndio maana hata mzee wa degree nne alikuwa anakudharau.
Diamond hapingwi kwa sababu kuwa CCM, mbona Marehemu Komba alikuwa ccm na kaimbia sana chama lakini hakuchukiwa? Alikuwa kazini kwenye chama chake na hakutetea watu Individuals makatili na wauaji kwa gharama ya sanaa yake kama huyo kijana.
Hiyo ndio point wanayo miss wengi wenu, huwezi kumtetea Makonda katikati ya tuhuma za kuteka na kipoteza watu ukategemea Mkuu uungNEVERTHELESS kono, NEVER
 
Banaga katoa msimamo wake kama lisu alivyotoa msimamo wake, nionyeshe sehemu lisu au chadema wakisema wanachadema wasimpigie kura diamond
Diamond hajawahi kuwa upande wa haki alikuwa upande wa watesi wa Lissu, sasa wewe unafikiri Lissu kaweka huo msimamo wake kirahi rahisi tu kwamba ni suala la msimamo tu binafsi wa mtu? Hili suala la Diamond lishakuwa ni kati ya wapenda haki na wasiopenda kwahiyo kumsapoti Diamond ni sawa na usaliti kwa wapenda haki.
 
Acha kupanik dogo,relax

Back
Top Bottom