Bananga kumpigia kura Diamond

Bananga kumpigia kura Diamond

Pambalu kasema wafuasi wa chadema mmechoka ndio maana kila mmoja anatakiwa kuwa wakala kwa ujira wa shilingi Mia tano
Wewe unaingizwa mimba.
Nasikia we Juliana Shonza ni Bingwa wa kubeba mimba za waume za watu, eti? Olewa dada unazeeka mbw∆ ww
 
Uwezo wako wa kuchanganua ni mdogo sana ndio maana hata mzee wa degree nne alikuwa anakudharau.
Diamond hapingwi kwa sababu kuwa CCM, mbona Marehemu Komba alikuwa ccm na kaimbia sana chama lakini hakuchukiwa? Alikuwa kazini kwenye chama chake na hakutetea watu Individuals makatili na wauaji kwa gharama ya sanaa yake kama huyo kijana.
Hiyo ndio point wanayo miss wengi wenu, huwezi kumtetea Makonda katikati ya tuhuma za kuteka na kipoteza watu ukategemea uungaji mkono, NEVER
Kumbe Diamond kamtetea mtu individual mi nilidhani ni zile kampeni ambazo karibu wasanii wote walikuwa wanafanya.
 
Dah! kwahiyo ndio ishakuwa vita Diamond na Chadema , hapa tutegemee watu kuitwa wasaliti wa chama kwa kuwa upande wa Diamond.
Maana Diamond kosa ni kusapoti watesaji hajawahi kuwa upande wa haki kama Lissu alivyosema hivyo kumsapoti Diamond ni sawa na kusapoti upande usio wa haki na kufanya hivyo ni sawa na usaliti. Nadhani haitoishia kwa Diamond tu bali kwa wasanii wote na baada ya hapo kunahamia kwenye simba na yanga.

Hiyo ndio maana ya demokrasia, mnapingana wazi wazi, hasa ukizingatia jambo lenyewe ni la utashi binafsi na sio la kichama.
 
Kumbe Diamond kamtetea mtu individual mi nilidhani ni zile kampeni ambazo karibu wasanii wote walikuwa wanafanya.

Chini ya siasa za kidhalimu za Magu, hata huyo Komba angeteuliwa kugombea tuzo yoyote tungempa kubwa yake. Hukumbuki michuano ya Afrika alipoenda yule dhalimu Makonda, tulivyofurahi hiyo timu ya taifa kufungwa vibaya?
 
Hiyo ndio maana ya demokrasia, mnapingana wazi wazi, hasa ukizingatia jambo lenyewe ni la utashi binafsi na sio la kichama.
Ingekuwa ni issue tu ya kumsapoti au kutomsapoti Diamond hiyo kweli ingekuwa ni demokrasia hivyo ni utashi wa mtu ila sasa issue yenyewe imefanywa kuwa ni upande wa haki na upande usio wa haki, kama si hivyo unafikiri Lissu angeingilia issue ya Diamond?
 
Kwani jambo la haki huwezi kulipatia ufumbuzi kwa njia ya demokrasia?
 
Chini ya siasa za kidhalimu za Magu, hata huyo Komba angeteuliwa kugombea tuzo yoyote tungempa kubwa yake. Hukumbuki michuano ya Afrika alipoenda yule dhalimu Makonda, tulivyofurahi hiyo timu ya taifa kufungwa vibaya?
Kwahiyo kwa kufanya hivyo mlikuwa mnamkomoa nani?
 
Kwani jambo la haki huwezi kulipatia ufumbuzi kwa njia ya demokrasia?
Nachomaanisha hili suala la kutomsapoti Diamond humu si suala la utashi tu wa mtu bali limegeuzwa kuwa ni jambo kati ya upande wa haki na upande usio wa haki, Lissu anamuona Diamond ni mtu aliyekuwa upande wa adui yake aliyetaka kuondoa maisha yake ndio maana hawezi kumsapoti mtu kama huyo.
 
Tulikuwa tunamkomoa dhalimu na genge lake, kwani ujumbe ulimfikia kuwa hatumpendi.
Ukitaka kumkomoa mtu lazima ujue hicho unachotaka kumfanyia kitamkomoa kweli? unaweza ukamsusia mtu chakula kwa nia ya kumkomoa halafu kwa huyo mtu ikawa neema akala chakula chote na bila kuwaza. Sasa sidhani kama Jiwe alikuwa anajari kuona watu wahampendi.
 
Nachomaanisha hili suala la kutomsapoti Diamond humu si suala la utashi tu wa mtu bali limegeuzwa kuwa ni jambo kati ya upande wa haki na upande usio wa haki, Lissu anamuona Diamond ni mtu aliyekuwa upande wa adui yake aliyetaka kuondoa maisha yake ndio maana hawezi kumsapoti mtu kama huyo.
Ni kweli kabisa, lakini hajamshurutisha Bananga kufuata msimamo wake, kwani Bananga anamtazama Diamond kwenye angle yake.
 
Ukitaka kumkomoa mtu lazima ujue hicho unachotaka kumfanyia kitamkomoa kweli? unaweza ukamsusia mtu chakula kwa nia ya kumkomoa halafu kwa huyo mtu ikawa neema akala chakula chote na bila kuwaza. Sasa sidhani kama Jiwe alikuwa anajari kuona watu wahampendi.

Kujali kuwa watu hawampendi hilo alijali sana, na lilikuwa linamuumiza kwani alitaka apendwe na kusifiwa. Na anajua watu walikuwa wanaiponda hiyo timu baada ya kumtuma huyo dhalimu wake Bashite.
 
Kijana wangu umeshajili wangapi ukachukue kamisheni yako?
Kujali kuwa watu hawampendi hilo alijali sana, na lililokuwa linamuumiza kwani alitaka apendwe na kusifiwa. Na anajua watu walikuwa wanaiponda hiyo timu baada ya kumtuma huyo dhalimu wake Bashite.
 
Wakuu,

Duniani kuna watu na viatu, Bananga aamua kuwa mtu.

Hoja ya Bananga imetoka nje ya hoja ya Lissu kama ndio amekusudia kukabiliana nayo. Hoja ya Lissu haihusu U CCM na U Chadema au U CCM na Upinzani. Ni suala linalohusu ushiriki wa Diamond kuvunja haki za binadamu akishirikiana na Bashite. Mtazamo wa Lissu ni mpana kidogo, unagusa shule pia, kwa maana ya uelewa mpana wa mtu katika kuiendea hoja husika. Bananga ameingia kwenye hoja kilevi..apuuzwe!
 
Back
Top Bottom