Bananga kumpigia kura Diamond

Bananga kumpigia kura Diamond

Rudia kusoma kamanda,na wewe ni wakala?
Hoja ya Bananga imetoka nje ya hoja ya Lissu kama ndio amekusudia kukabiliana nayo. Hoja ya Lissu haihusu U CCM na U Chadema au U CCM na Upinzani. Ni suala linalohusu ushiriki wa Diamond kuvunja haki za binadamu akishirikiana na Bashite. Mtazamo wa Lissu ni mpana kidogo, unagusa shule pia, kwa maana ya uelewa mpana wa mtu katika kuiendea hoja husika. Bananga ameingia kwenye hoja kilevi..apuuzwe!
 
Kujali kuwa watu hawampendi hilo alijali sana, na lilikuwa linamuumiza kwani alitaka apendwe na kusifiwa. Na anajua watu walikuwa wanaiponda hiyo timu baada ya kumtuma huyo dhalimu wake Bashite.
Ingekuwa hivyo angemtimua Bashite mapema sana.
 
Amtimue Bashite wakati alikuwa ndio mfuasi wake wa siasa za kidhalimu?
Ndio maana nikasema alikuwa hajali kuhusu nyinyi kumchukia na alikuwa anaendelea kumuweka Bashite kwa sababu ya kuwakomoa ninyi.
 
Ndio maana nikasema alikuwa hajali kuhusu nyinyi kumchukia na alikuwa anaendelea kumuweka Bashite kwa sababu ya kuwakomoa ninyi.

Uzuri ni kuwa na sisi tulikuwa hatumpi raha, huoni kaondoka yeye kwa ugonjwa sisi bado tupo?
 
Bananga historia yake ni kina Msando simshangai kwa huo uamuzi wake, nahisi ana marafiki wengi CCM kuliko Chadema.
😂 😂, yaaani icho kikundi chenu cha njaa ndo mnataka kua wazungumzaji wa nchi
 
Dah! kwahiyo ndio ishakuwa vita Diamond na Chadema , hapa tutegemee watu kuitwa wasaliti wa chama kwa kuwa upande wa Diamond.
Maana Diamond kosa ni kusapoti watesaji hajawahi kuwa upande wa haki kama Lissu alivyosema hivyo kumsapoti Diamond ni sawa na kusapoti upande usio wa haki na kufanya hivyo ni sawa na usaliti. Nadhani haitoishia kwa Diamond tu bali kwa wasanii wote na baada ya hapo kunahamia kwenye simba na yanga.

icho kikundi kidogo cha njaa kisikusumbue akili shida yao kubwa ni faragha
 
Mmmmh[emoji848][emoji848][emoji848]
IMG-20210605-WA0213.jpg
 
Back
Top Bottom