Bananga kumpigia kura Diamond

Bananga kumpigia kura Diamond

Dah! kwahiyo ndio ishakuwa vita Diamond na Chadema , hapa tutegemee watu kuitwa wasaliti wa chama kwa kuwa upande wa Diamond.
Maana Diamond kosa ni kusapoti watesaji hajawahi kuwa upande wa haki kama Lissu alivyosema hivyo kumsapoti Diamond ni sawa na kusapoti upande usio wa haki na kufanya hivyo ni sawa na usaliti. Nadhani haitoishia kwa Diamond tu bali kwa wasanii wote na baada ya hapo kunahamia kwenye simba na yanga.
 
Msimamo wa Lissu ndio Msimamo wa Chadema?

Msimamo wa Chadema unatokana na Maazimio rasmi ya Chama, lini Kamati kuu ilikutana kujadili issue za Diamond?

Kuna watu wanapigania sana Demokrasia japo hawaamini katika demokrasi
Kwa sababu nadhani ni kitu cha kusadikika, wapi ipo hiyo demokrasia?
 
Hawa CHADEMA wamekomaa kifikra...demokrasia.... Wanatofautiana wazi bila unafiki...na kukubaliana mambo muhimu kwa uwazi. Ningependa CCM waige,,maana baada ya kifo cha JPM...ona yanayotokea...close circle yake wanavyoparurana...uwazi haupo
 
Wanasiasa kwenye mambo kama haya huwa nawatuk'na kimoyomoyo.

Mwisho wa siku watahamia kwenye V8.
 
Wakuu,

Duniani kuna watu na viatu, Bananga aamua kuwa mtu.

View attachment 1808668

Kwa kujikuna na kujichekesha mlifuzu kwa kiwango cha SGR.

Ni ninyi mliosema wapiga kura hawazidi 500.


Leo mmerejea tena na mpya. Huyo banana naye yumo humo?

Kwa kulikoroga diamundo saundo yeye akale huko huko alikopeleka mboga.

Habari ndiyo hiyo.
 
Ni haki yake kufanya hivo, Ni sawa na ulivyo haki kwa wale wanaomkataa kumpigia kura...
 
Kumbuka mke wa bananga ni mbunge wale covid.
Chadema haijatoa msimamo wake kuhusu Diamond usichanganye mada hapa mataga
Tamko la Lisu ni tamko la chadema..

Au umesahau kama Lisu ni makamu mwenyekiti?

Akili umepeleka wapi bavicha?
 
Back
Top Bottom