Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika

Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika

Kaza mkuu hiyo bank s ya kulegea ina ukanjanja sana japo mkopo unapewa kwa wakat
Duuuh hili suala inabidi nilikazie mkanda Mimi nilichukulia poa tu Cha ajabu miezi inazidi kwenda mbele tu dadeki.
 
Nilichukua pesa yao nikaweka kwenye biashara yangu ya uchuuzi wa mazao, yaani miezi miwili tu kwa kuzungusha kijijini kuleta mjini tayari nimepata faida na mtaji umesimama,

Si unajua huku tunaishi na mazao ya msimu
Hukuwa na plan ya kufanya biashara kwa miaka miwili?
 
Hukuwa na plan ya kufanya biashara kwa miaka miwili?
Nilichukua pesa ya biashara na emergency, yaani likibuma tu nipate pa kushikilia nikisubilia msimu ujao, Ila Mambo yakatiki na faida ndani ya muda mchache.
 
Back
Top Bottom