Nilichukua pesa yao nikaweka kwenye biashara yangu ya uchuuzi wa mazao, yaani miezi miwili tu kwa kuzungusha kijijini kuleta mjini tayari nimepata faida na mtaji umesimama,
Nilichukua pesa ya biashara na emergency, yaani likibuma tu nipate pa kushikilia nikisubilia msimu ujao, Ila Mambo yakatiki na faida ndani ya muda mchache.