Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

Kama ni hivyo uonavyo kwanini hao dp world wasiingie mkataba na huko Zanzibar bandari zao ili na wao wafaidike!!?
Zanzibar wewe inakuhusu nini?

Zsnzibar tayari wamesaini mikataba ya bandari mbili na kampuni ndogo ndgo za bandari ambazo zote ni walewale tu, kama ilivyokuqa kwetu na TICTS.


Zanzibar kampuni za Dubai ilianza kwa ya kuendesha Airport DNATA.
 
Wenzako wewe walipelekwa Dubai wamelamba asali wewe umepewa nini au ulikuwepo na wewe kwenye msafara?
 
Ndo uwape.miele?
Kwahiyo ww huwezi na kizazi chako chote hamuwezi ?
Ok usiseme wengine na usiuze bandari kama mali ya familia kwa kigezo ww huwezi?
Hivi wewe mkataba umeusoma au unaota?

Usome huu hapa, halafu nioneshe hiyo milele yako ikowapi? Bofya chini hapo👇🏾
.


Kwanini mnakuwa wajinga hivi? Mkataba upo haujausoma unakurupuka tu eti milele.

Halafu watu kama wewe ndiyo mtaweza kuendesha bandari bila kusimamiwa ?
 
Ulianza vizuri lakini ikaonekana Kama DpW walikualika na wewe na uku mwisho ndo ukaaribu kabisa,Magufuli hayupo la bandari ni la Samia ujinga wa Magu sijui uko wapi?? Unahangaika kusafisha puru isitoe harufu ya mavi wakati ndiyo asili yake hauoni ni kupoteza muda tu?
 
Nyie tunawajua ni watumwa wa waarabu, si ajabu mnataman kuwa waarabu kama mabwana zenu.
Nendeni huko Oman wakawatawale au wapeni kisiwa chenu cha zanzibar
 

Tunawakaribisha wakoloni kwa njia ya uwekezaji.
 
Nyie tunawajua ni watumwa wa waarabu, si ajabu mnataman kuwa waarabu kama mabwana zenu.
Nendeni huko Oman wakawatawale au wapeni kisiwa chenu cha zanzibar
Wewe unawapotezea watu muda tu. Upo very shallow, hata nilichokiandika hujakisoma.

Wewe hata bandari huijuwi imekaaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…