Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu.
jifunzeni kutafuta fursa.

Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.

Hatuna ujanja, sisi tujihakikishie tu tunafanya haraka kuzitumia fursa kadri tunavyoweza.

Bandari zetu kuendeshwa na nani au nani imehaamuliwa zamani.

TICTS hawakuondoka kwa ujanja wetu au uhodari wetu, misheni yao imekwisha.

DP World haipo kwa ujanja wetu wala ujinga wetu, wapo kwa makusudi kabisa na wanaelewa nini cha kufanya.

TICTS ndiyo haohao Hutchison, Hutchison ndiyo haohao AD Ports, AD Ports ndiyo haohao DP World.
. Wameshagawana zone za kazi. Ni mengi sana, mapoyoyo hamuwezi kunielewa.

Bei za kutulipa zimeshaamuliwa na zipo tayari siku nyingi, wana vigezo vyao havibadiliki, vinapishana kidogo tu kutokana na operating costs zao.
.
Sisi tutafaidi na wao watafaidi.

Mtajionea kimya kimya kuanzia mwaka huu machafuko ya Congo yamekwisha, machafuko ya Sudan Kusini yanakwisha. Gas Tanzania inaanza kuchimbwa kwa kasi, uchumi Tanzania unabadilika ukuwaji kasi ya ujywaji itaongezeka sana mwakani.

Mashamba makubwa yataibuka, mabarara, umeme, usalama, mahosoitali yataongezeka na kuboreshwa.

Tunachokitaka tutakipata kiwepesi sana. Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo.

Tujitayarishe kupokea Wakubwa wa nchi za UAE, Oman, Saudi Arabia, Qatar. Kwa uchache.

Kila mahali patakaa sawa.

Uliza chochote utakacho, yote ninayiyaandika yana ushahidi.
twasubiri mambo hayo mazuri
barabara, umeme wa uhakika, reli ya kasi, maji ya uhakika n.k
 
Sifahamu, kwangu sikioni.
1687499154808.png
 
Kaa sebuleni kwako wasimulie wanao au wajukuu zako
Hayo yote ni kwa mkataba upi sasa

Ni kweli mambo yatakuwa mazuri lakini si kwa faida yako
Tutakuwa tumekaa kama wageni katika nchi yetu tukiangalia muarabu anavyotengeneza pesa nchini kwetu
 
Hivi wewe mkataba umeusoma au unaota?

Usome huu hapa, halafu nioneshe hiyo milele yako ikowapi? Bofya chini hapo👇🏾
.

Kwanini mnakuwa wajinga hivi? Mkataba upo haujausoma unakurupuka tu eti milele.

Halafu watu kama wewe ndiyo mtaweza kuendesha bandari bila kusimamiwa ?
Kakurupuka tena

Wewe ndo mkurupukaji ....
Soma hapo ww kweli hauwezi

Wewe ndo mkurukaji soma hapo

KIFUNGU CHA 24
KUTORIDHISHWA, LUGHA NA VIAMBATANISHO

1. Nchi Wanachama hazijaonyesha kutoridhishwa na kifungu chochote cha Mkataba huu.
2. Viambatisho vyote au nyongeza kwa Mkataba huu, ambazo Nchi Wanachama zinaweza kutia saini mara kwa mara, zitakuwa sehemu muhimu ya mkataba huu.
3. Mkataba huu umeingiwa katika lugha ya Kiingereza. Kwa kuzingatia matumizi ya Mkataba huu (ikiwa ni pamoja na, taarifa zote, madai, maombi, taarifa au nyaraka nyingine au mawasiliano chini ya Mkataba huu) Nchi Wanachama zitatumia lugha ya Kiingereza.

Soma kifungu kidogo cha nne
 
twasubiri mambo hayo mazuri
barabara, umeme wa uhakika, reli ya kasi, maji ya uhakika n.k
Inabidi yaje.

Mama mwaga pesa nyingi sana za maendeleo kwenye bajeti ya mwaka huu kuliko wakati wowote ule.
 
Kakurupuka tena

Wewe ndo mkurupukaji ....
Soma hapo ww kweli hauwezi

Wewe ndo mkurukaji soma hapo

KIFUNGU CHA 24
KUTORIDHISHWA, LUGHA NA VIAMBATANISHO

1. Nchi Wanachama hazijaonyesha kutoridhishwa na kifungu chochote cha Mkataba huu.
2. Viambatisho vyote au nyongeza kwa Mkataba huu, ambazo Nchi Wanachama zinaweza kutia saini mara kwa mara, zitakuwa sehemu muhimu ya mkataba huu.
3. Mkataba huu umeingiwa katika lugha ya Kiingereza. Kwa kuzingatia matumizi ya Mkataba huu (ikiwa ni pamoja na, taarifa zote, madai, maombi, taarifa au nyaraka nyingine au mawasiliano chini ya Mkataba huu) Nchi Wanachama zitatumia lugha ya Kiingereza.

Soma kifungu kidogo cha nne
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
 
Huna sababu yankujaza quotations. Weka kimoja usomeke ukishajibiwa weka. Kingine. Usifikiri paper ya. Mtihani hii. It's just a social media.

. Haya rudia kimoja tu.
 
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.

Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.

Hatuna ujanja, sisi tujihakikishie tu tunafanya haraka kuzitumia fursa kadri tunavyoweza.

Bandari zetu kuendeshwa na nani au nani imehaamuliwa zamani.

TICTS hawakuondoka kwa ujanja wetu au uhodari wetu, misheni yao imekwisha.

DP World haipo kwa ujanja wetu wala ujinga wetu, wapo kwa makusudi kabisa na wanaelewa nini cha kufanya.

TICTS ndiyo haohao Hutchison, Hutchison ndiyo haohao AD Ports, AD Ports ndiyo haohao DP World.
. Wameshagawana zone za kazi. Ni mengi sana, mapoyoyo hamuwezi kunielewa.

Bei za kutulipa zimeshaamuliwa na zipo tayari siku nyingi, wana vigezo vyao havibadiliki, vinapishana kidogo tu kutokana na operating costs zao.
.
Sisi tutafaidi na wao watafaidi.

Mtajionea kimya kimya kuanzia mwaka huu machafuko ya Congo yamekwisha, machafuko ya Sudan Kusini yanakwisha. Gas Tanzania inaanza kuchimbwa kwa kasi, uchumi Tanzania unabadilika ukuwaji kasi ya ujywaji itaongezeka sana mwakani.

Mashamba makubwa yataibuka, mabarara, umeme, usalama, mahosoitali yataongezeka na kuboreshwa.

Tunachokitaka tutakipata kiwepesi sana. Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo.

Tujitayarishe kupokea Wakubwa wa nchi za UAE, Oman, Saudi Arabia, Qatar. Kwa uchache.

Kila mahali patakaa sawa.

Uliza chochote utakacho, yote ninayiyaandika yana ushahidi.
Bado tuu unaandika kimakosa mno
 
FaizaFoxy umenifanya nilie kwa uchungu sana. Hawa waarabu ndio walituchukua utumwa wakatupasua na kende ili tusichanganyike na damu yap. Leo hii huwezi ona mwarabu mweusi na hutengwa sana huko uarabuni. Unashindwa kutofautisha Uislam na uarabu, 😭

Hao unaoshabikia wana laana za Uislam mbaya sana. Wengine wanaotaka mkataba wana mambo haramu mengi katika Uislam.

Hakuna kitu kibaya duniani kama majuto. Mohamed Said kila siku anaandika jinsi wazee wa kiislam walivyochangia kwenye uhuru wa nchi hii. Hivi ndivyo walitaka? Unampaje mtu mkataba wa maisha ambaye Zanzibar walipigana vita kumtoa Sultan?

Laana haijawahi mwacha mtu salama. .
 
-Vipi ishu ya bandari kupanda thamani?
-Vipi ishu ya mbia wetu kushindwa kulekeleza yalipo kwenye mkataba na bado akaendelea kuwepo, kwasababu mkataba unambeba?
-Hivi unahisi kwa matrilion yanayoibiwa kwa mwaka Tanzania tunashindwa kuendeleza bandari, mfano DP world wanawekeza dola million 500 ambayo nisawa kwa mwanzo je linganisha na pesa zilizoibiwa mwaka jana 2,zaidi ya trillion 2?
-Kama hatuna wataaalamu je chuo cha bandari na maprofesor wake wanafanya kazi gani?
-Kwanini tusilete wataaalamu na technologia changamfu na basic tukabaki na bandari?
-Kwanini tuuze bandari bila ukomo na kuziwepo room ya kujitoa kwasababu wanadamu hubadilika wakitubadilikia tutamlaumu nani?
-Kwanini wenye nchi wasisikilizwe wananchi kwani bandari ni ishu ya kifamilia?
-Kwani kama sisi ni kizazi cha kijinga tumeshinda kufanya kwa uadilifu,kwanini tusiviifadhi kwa vizazi vijavyo kwa sababu katikati ya wajinga yamkini akawepo mwelevu hata mmoja,kwani nyerere asingeviifadhi wewe ungevikuta?
-Watoto wetu watafaidi nini?watajivunia na nini? Kama tunaangalia leo tu?
-Trillion 26 ya mwaka 2023? Ni dawa kithamani na trillion 26 za mwaka 2070?2100 ? 3000?
- unaonaje tukatoa rangi ya njano,kijani,na blue kwenye bendera ya taifa ukabaki nyeusi kwasababu migodi tumeuza,misitu tumeuza na ardhi ,na Bahari na maziwa ndo tunauza hivyo yani,
Mwisho wewe unalipwa shi ngapi? Kuteteza huu ufuska?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu mwsho anaye kuja kuteseka ni mwananchi wa hali ya chini mlipa kodi achaa tuone [emoji15][emoji849][emoji3064]hayo mahospital ya DP kama tutatibiwa bureeeee[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kwa sababu hatuwezi. Miaka yote tumeshindwa. Wacha wanaoweza wafanye huku wanatufundisha.
Anakufundisha miaka [emoji817] are siliaz Faiza miaka [emoji817] achota aneemekaa yeye alafu wa Tanzania wako tayari kufundishika semaa wameona Tanganyika shamba la Bibi yaaani wawafundishe ili kesho wasije kuvuna teenaa [emoji35][emoji34][emoji35][emoji34] bora kuhamia korea kusini[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
KIFUNGU CHA 23
MUDA NA UTARATIBU WA KUSITISHA MKATABA

1. Kwa mujibu wa aya ya 2 ya ibara hii ya 23, Mkataba huu utaendelea kutumika hadi pale itakapotokea mojawapo ya yafuatayo: (i) kusitishwa kabisa kwa shughuli zote za mradi; au (ii) kumalizika muda kwa HGA zote na Mikataba yote ya Mradi (pamoja na ya nyongeza yoyote ya muda itakayo fanyika) na utatuzi wa migogoro, ikiwa ipo, kama inavyoelezwa hapochini.
2. Iwapo HGA itasitishwa kabla ya muda wake kuisha, Mkataba huu utaendelea kutumika kwa muda huo, na kwa kiwango kinachohitajika na Nchi yoyote Mwanachama au Kampuni ya Mradi kudai haki zozote zinazotokana na, kulinda maslahi yoyote yanayohatarishwa na au kuleta shauri lolote linalotokana na kusitishwa kwa HGA. Kusitishwa au kuisha muda kwa HGA hakutaathiri haki zozote zilizopatikana, madeni au masuluhisho ya Mwanachama yeyote chini ya HGA hiyo au Mikataba ya Mradi inayohusiana au Mkataba huu.
3. Kusitishwa kwa Mkataba huu kutategemea idhini ya awali ya Nchi Wanachama, idhini hiyo haipaswi kuzuiliwa bila sababu.
4. Nchi Wanachama hazitakuwa na haki ya kushutumu, kujiondoa, kusimamisha au kusitisha Mkataba huu katika hali yoyote, hata ikitokea ukiukwaji wa mkataba (material breach), mabadiliko ya kimsingi ya hali, kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia au kibalozi, au sababu zingine zozote zinazotambuliwa chini ya sheria ya kimataifa. Bila kujali yaliyotajwa hapo juu, mgogoro wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusiana na hali kama hizo utashughulikiwa kulingana na mahitaji ya Ibara ya 20 ya Mkataba huu.

***Soma kifungu cha nne

KIFUNGU CHA 22
MAREKEBISHO YA MKATABA

Mkataba huu unaweza kurekebishwa wakati wowote, kwa maandishi, kwa makubaliano ya pande zote za Nchi Wanachama. Hakuna marekebisho ya Mkataba huu yatakayotumika bila makubaliano hayo kwa kutia saini na kuridhiwa na/au kupitishwa kwa hati zinazofaa na Nchi Wanachama.
****Hakuna kuuvunja mkataba hats mkigundua mkataba huu siyo na haina maslai mpaka wale waamue
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
Nchi yetu haina maamuzi yoyote kwenye mali yetu na siyo mali ya viongozi hata kwa miaka elfu
****
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
******
KIFUNGU CHA 21
SHERIA INAYOONGOZA

Sheria itakayo ongoza Mkataba huu itakuwa Sheria ya Uingereza ambapo sheria ya uongozi wa kila HGA na Mikataba ya Mradi husika itakuwa ni kwa sheria za Tanzania.
****"
Tanzania tutaendeshwa na sheria tofauti na Katiba,sheria za mkataba haziusiani na Katiba ya kumlinda mtanzanzania na rasilimali zake,
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
*****
Bidhaa yoyote ndani ya mradi Tanzania haina haki nayo bila kujali utakuwa na athali ya usalama,afya ,mazngira,uaini
Mfano silaha na madawa ya kulevya ,na kama itaitaifisha lazima Tanzania ilipe hata kama ni hatari angalia kipengele cha mwisho
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
*****
Wahusika wengine na hata wananchi wamekuwa included bandari si mali ya familia so tunapaswa kujua what happen katika bandari yetu ndo mana walifanya siri
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
*****
Akili zako zinavyo kutuma kipengele kimoja hakiui kipengele kingine
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
 
Back
Top Bottom