Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

Hamjambo TEC, Slaa, mdudu, mwambulukuku na misukule wenu?
 
hao ni wazima, na ndio wameibuka washindi, kama hujajua.
Ngoma bila kulewa tutaichezaje.

Leo nimewaona wakisaini mikataba.

Sema nyuso zimewashuka utafikiri soksi zilizojaa matope. Uliwaona?
 
Ngoma bila kulewa tutaichezaje.

Leo nimewaona wakisaini mikataba.
kama wamebadili vipengele, kwanini usisainiwe? hapo sasa tumecheza wimbo mmoja baada ya kusikiliza maoni yetu na kuyafanyia kazi.
 
kama wamebadili vipengele, kwanini usisainiwe? hapo sasa tumecheza wimbo mmoja baada ya kusikiliza maoni yetu na kuyafanyia kazi.
Kipengele cha mkataba upi kibadilishwe na mikataba yenyewe ilikuwa haipo kabisa.

Unaota?
 
Kipengele cha mkataba upi kibadilishwe na mikataba yenyewe ilikuwa haipo kabisa.

Unaota?
ajuza, kama haukuwa mkataba, ulipelekwaje bungeni sasa? na mbona hata wabunge wako na spika walisema ni mkataba? mlishindwa kujipanga ndio maana mlipishana wenyewe hadi sasa wewe unapishana na wenzio, viongozi wako walisema ni mkataba na ndio maana ulipelekwa bungeni, wakati huohuo wengine wanasema ni makubaliano, makubaliano huwa yahapelekwa bungeni?, sasa hata ninyi wenyewe mlikuwa hamjui na hadi sasa hamjui nini mlipeleka bungeni, ndio maana tunasema shukrani kwa kina mdude na wenzake, wamelikomboa taifa toka kwenye vichwa kama vya kwako hivyo. ukute mtu kama wewe ndio anakuwa mshauri wa mama, ndio maana hajawasikiliza, kasikiliza mdude na wenzake.
 
Ile ni IGA kijana, ni tofauti kabisa na Mikataba iliyosainiwa leo.

Soma kijana kabla hujaanza kubisha kijinga.

Mama'ko pia huwa unamwita ajuza, au yeye bado anadai mileage?
 
Ile ni IGA kijana, ni tofauti kabisa na Mikataba iliyosainiwa leo.

Soma kijana kabla hujaanza kubisha kijinga.

Mama'ko pia huwa unamwita ajuza, au yeye bado anadai mileage?
unaona nimekuzeesha kukuita ajuza, basi nikuite "demu". fresh. tukirudi kwenye hoja, nikiita wanaccm wenzio hapo watakwambia ule ni mkataba, wewe utasema makubaliano, na hadi leo hamjui kile kilikuwa ni nini na hata baada ya kusoma kesi ya mwabukusi. pia, tunajua bungeni huwa inapelekwa mikataba tu. unajiona namna mlivyovurugana hata mlikuwa hamjui mnafanya nini? na samia kawatoa nishai.
 
mama'ko unamuita demu? Bado anadai?
 
Habari za asubuhi. Jikumbushe uliyoyaandika siku za nyuma na majibu yaliyotolewa jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…