Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

Na huu udini wako pepo utaiskia kwenye matako tuu
Kwa "udini" kama ni Uislam, basibhujakisea, mimi bi Mujslam kweli kweli.

Hivi sababu zako za kuupinga mkataba wa ushirikiano kimaendeleo wa serikali ya Dubai na Serikali ya Tanzania ni zipi?

Mama ameupiga mwingi Kimataifa.
 
Mi Waarabu nawakubali kwenye uwekezaji.
Sio kama Wachina
Na wanajua kudhibiti uwizi

Wale wezi,wavivu wakae pembeni

Wafanyakazi bandari walizidisha dharau,kufanya kazi kwa mazoea

Ova
 
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.

Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.

Hatuna ujanja, sisi tujihakikishie tu tunafanya haraka kuzitumia fursa kadri tunavyoweza.

Bandari zetu kuendeshwa na nani au nani imehaamuliwa zamani.

TICTS hawakuondoka kwa ujanja wetu au uhodari wetu, misheni yao imekwisha.

DP World haipo kwa ujanja wetu wala ujinga wetu, wapo kwa makusudi kabisa na wanaelewa nini cha kufanya.

TICTS ndiyo haohao Hutchison, Hutchison ndiyo haohao AD Ports, AD Ports ndiyo haohao DP World.
. Wameshagawana zone za kazi. Ni mengi sana, mapoyoyo hamuwezi kunielewa.

Bei za kutulipa zimeshaamuliwa na zipo tayari siku nyingi, wana vigezo vyao havibadiliki, vinapishana kidogo tu kutokana na operating costs zao.
.
Sisi tutafaidi na wao watafaidi.

Mtajionea kimya kimya kuanzia mwaka huu machafuko ya Congo yamekwisha, machafuko ya Sudan Kusini yanakwisha. Gas Tanzania inaanza kuchimbwa kwa kasi, uchumi Tanzania unabadilika ukuwaji kasi ya ujywaji itaongezeka sana mwakani.

Mashamba makubwa yataibuka, mabarara, umeme, usalama, mahosoitali yataongezeka na kuboreshwa.

Tunachokitaka tutakipata kiwepesi sana. Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo.

Tujitayarishe kupokea Wakubwa wa nchi za UAE, Oman, Saudi Arabia, Qatar. Kwa uchache.

Kila mahali patakaa sawa.

Uliza chochote utakacho, yote ninayiyaandika yana ushahidi.
Nchi hii ukwel ni kwamba si nchi ya aman Bali ni nchi ya watu watulivu wasiojuaa mambo Kwa undani zaidi,, watanzania kumbukeni kuwa tunakoelekea mahalamia wote wanaokuj jua kbisa wanaingia Tanzania Kwa fujo kutokana na kigezo Cha sis kuwa tuna aman, baada ya miaka kumi mbele inchi hii nawambie haitakuwa na aman Tena kma tunavyojiita. Ahxante
 
Kile kitendo cha Rais kusema Mifumo haisomani kati ya TPA na TRA tu hapo nikajua kuna Mchwa weusi wanajilia pesa miaka mingi huku bado Quality of services bandarini ni poor.

Sasa ni muda muafaka kuwakaribisha DP world kutusaidia sisi wafanya biashara ku import mizigo yetu kwa haraka wakati huo Kutakua na fursa za ajira na gawio la faida serikalini lililo wazi.
Watu wa bandari wana ukwasi wa kutosha...
Sahv waibeibe ya mwishomwisho tu
Maana dp world haooo wanakuja

Ova
 
Kwa "udini" kama ni Uislam, basibhujakisea, mimi bi Mujslam kweli kweli.

Hivi sababu zako za kuupinga mkataba wa ushirikiano kimaendeleo wa serikali ya Dubai na Serikali ya Tanzania ni zipi?

Mama ameupiga mwingi Kimataifa.
Umeshalewa ndugu,naomba ukapumzike sasa,pombe haziishi.
 
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.

Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.

Hatuna ujanja, sisi tujihakikishie tu tunafanya haraka kuzitumia fursa kadri tunavyoweza.

Bandari zetu kuendeshwa na nani au nani imehaamuliwa zamani.

TICTS hawakuondoka kwa ujanja wetu au uhodari wetu, misheni yao imekwisha.

DP World haipo kwa ujanja wetu wala ujinga wetu, wapo kwa makusudi kabisa na wanaelewa nini cha kufanya.

TICTS ndiyo haohao Hutchison, Hutchison ndiyo haohao AD Ports, AD Ports ndiyo haohao DP World.
. Wameshagawana zone za kazi. Ni mengi sana, mapoyoyo hamuwezi kunielewa.

Bei za kutulipa zimeshaamuliwa na zipo tayari siku nyingi, wana vigezo vyao havibadiliki, vinapishana kidogo tu kutokana na operating costs zao.
.
Sisi tutafaidi na wao watafaidi.

Mtajionea kimya kimya kuanzia mwaka huu machafuko ya Congo yamekwisha, machafuko ya Sudan Kusini yanakwisha. Gas Tanzania inaanza kuchimbwa kwa kasi, uchumi Tanzania unabadilika ukuwaji kasi ya ujywaji itaongezeka sana mwakani.

Mashamba makubwa yataibuka, mabarara, umeme, usalama, mahosoitali yataongezeka na kuboreshwa.

Tunachokitaka tutakipata kiwepesi sana. Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo.

Tujitayarishe kupokea Wakubwa wa nchi za UAE, Oman, Saudi Arabia, Qatar. Kwa uchache.

Kila mahali patakaa sawa.

Uliza chochote utakacho, yote ninayiyaandika yana ushahidi.
Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.
 
Ningekuelewa mapema, lakini nabaki na mashaka maana unatabia ya kuchanganya ukweli, uislam, uCCM, uarabu ushabiki na vitu siriasi vya maisha.

Ni rahisi kukupredict utashabikia nini kesho kwa kuzingatia hadidu za rejea hapo juu.
Hakika,pale panapokuwa na issues zinazoshabihiana na imani yake hata kama zina maswali lukuki hawezi kuongea bila kuegemea kwenye upande wake
 
Tajiri hajawahi kuwa na Mpango wa kumnufaisha Maskini ... ( Sijui kama una upeo wa kunielewa ) Lakini Ukweli ni Kwamba lengo kuu la Tajiri ni kuhakikisha Maskini anakuwa Maskini zaidi . UNAJIDANGANYA TU , FURTHER MORE JPM aliifahamu Mifumo ya Dunia , Alifahamu Siri ya kuendelea kwetu kuwa Maskini licha ya UTAJIRI tuliobarikiwa . WATANZANIA NINYI WENYE HULKA YA KUSIFIA SIFIA TU NI MZIGO KWA TAIFA . Tena usidanganyike Kwa habari ya Uingereza kuendeshwa na hao jamaa ni propaganda tu . UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI TU , VITA YA KIUCHUMI WATU WANA SIRAHA ZA VIWANGO ndiyo maana ni ngumu kuipigana . Kwako utaona ni FURSA tu lakini ndivyo umeshapigwa Kiuchumi .
Ukiendelea na hii akili utaendelea kubaki na umasikini wako milele
 
Mimi nina swali kama ulivyoona nchi yetu imekaa vizuri kijiografia na tumepakana na nchi kama sita zisizokuwa na bandari ( land locked) bado tuna ukanda wa bahari mkubwa hapa Afrika mashariki (coastline)

Swali hivi bandari yetu inashindwa vipi na ya mombasa ? Ilitakiwa tutawale kuhusu swala la bandari

Hao dp world watatufanya tuwe washindani wakubwa ? Watapanua bandari yetu ? Ule ukiritimba kuchelewesha mizigo na rushwa wataweza ondoa ?

Kama majibu ni ndio . Wachukue hio bandari hata miaka 1000 .

Naulaumu sana ujamaa .hii nchi imepata watu wavivu,hawana upeo ,hata exposure hawana .ndio maana hata huko duniani hatujazagaa kama zilivyo nchi nyingine maana pia tuna uwoga wa kujaribu , watanzania tupo tupo tu .

Mtawala na mpinzani hakuna mwenye nafuu wote ni wale wale .

Naulaumu ujamaa
 
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.

Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.

Hatuna ujanja, sisi tujihakikishie tu tunafanya haraka kuzitumia fursa kadri tunavyoweza.

Bandari zetu kuendeshwa na nani au nani imehaamuliwa zamani.

TICTS hawakuondoka kwa ujanja wetu au uhodari wetu, misheni yao imekwisha.

DP World haipo kwa ujanja wetu wala ujinga wetu, wapo kwa makusudi kabisa na wanaelewa nini cha kufanya.

TICTS ndiyo haohao Hutchison, Hutchison ndiyo haohao AD Ports, AD Ports ndiyo haohao DP World.
. Wameshagawana zone za kazi. Ni mengi sana, mapoyoyo hamuwezi kunielewa.

Bei za kutulipa zimeshaamuliwa na zipo tayari siku nyingi, wana vigezo vyao havibadiliki, vinapishana kidogo tu kutokana na operating costs zao.
.
Sisi tutafaidi na wao watafaidi.

Mtajionea kimya kimya kuanzia mwaka huu machafuko ya Congo yamekwisha, machafuko ya Sudan Kusini yanakwisha. Gas Tanzania inaanza kuchimbwa kwa kasi, uchumi Tanzania unabadilika ukuwaji kasi ya ujywaji itaongezeka sana mwakani.

Mashamba makubwa yataibuka, mabarara, umeme, usalama, mahosoitali yataongezeka na kuboreshwa.

Tunachokitaka tutakipata kiwepesi sana. Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo.

Tujitayarishe kupokea Wakubwa wa nchi za UAE, Oman, Saudi Arabia, Qatar. Kwa uchache.

Kila mahali patakaa sawa.

Uliza chochote utakacho, yote ninayiyaandika yana ushahidi.
No one is against investment in the port and no one is against a certain company or country. What is opposed is the type of contract for the wider interests of the country.

It is very sad to see, what makes you defend such a contract is Islam which was brought by brutal slave traders who until today even a girl/woman does not have the right to ride a bicycle in their country talkless of many murders of black domestic workers in Arabia.
 
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.

Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.

Hatuna ujanja, sisi tujihakikishie tu tunafanya haraka kuzitumia fursa kadri tunavyoweza.

Bandari zetu kuendeshwa na nani au nani imehaamuliwa zamani.

TICTS hawakuondoka kwa ujanja wetu au uhodari wetu, misheni yao imekwisha.

DP World haipo kwa ujanja wetu wala ujinga wetu, wapo kwa makusudi kabisa na wanaelewa nini cha kufanya.

TICTS ndiyo haohao Hutchison, Hutchison ndiyo haohao AD Ports, AD Ports ndiyo haohao DP World.
. Wameshagawana zone za kazi. Ni mengi sana, mapoyoyo hamuwezi kunielewa.

Bei za kutulipa zimeshaamuliwa na zipo tayari siku nyingi, wana vigezo vyao havibadiliki, vinapishana kidogo tu kutokana na operating costs zao.
.
Sisi tutafaidi na wao watafaidi.

Mtajionea kimya kimya kuanzia mwaka huu machafuko ya Congo yamekwisha, machafuko ya Sudan Kusini yanakwisha. Gas Tanzania inaanza kuchimbwa kwa kasi, uchumi Tanzania unabadilika ukuwaji kasi ya ujywaji itaongezeka sana mwakani.

Mashamba makubwa yataibuka, mabarara, umeme, usalama, mahosoitali yataongezeka na kuboreshwa.

Tunachokitaka tutakipata kiwepesi sana. Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo.

Tujitayarishe kupokea Wakubwa wa nchi za UAE, Oman, Saudi Arabia, Qatar. Kwa uchache.

Kila mahali patakaa sawa.

Uliza chochote utakacho, yote ninayiyaandika yana ushahidi.
Kwa hiyo Magufuli ndio alizuia yote hayo kufanyika?
Je kabla ya Magufuli ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom