Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

Kile kitendo cha Rais kusema Mifumo haisomani kati ya TPA na TRA tu hapo nikajua kuna Mchwa weusi wanajilia pesa miaka mingi huku bado Quality of services bandarini ni poor.

Sasa ni muda muafaka kuwakaribisha DP world kutusaidia sisi wafanya biashara ku import mizigo yetu kwa haraka wakati huo Kutakua na fursa za ajira na gawio la faida serikalini lililo wazi.
Watakuja na wafanyakazi wao au wataendelea na waliopo?
 
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.

Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.

Hatuna ujanja, sisi tujihakikishie tu tunafanya haraka kuzitumia fursa kadri tunavyoweza.

Bandari zetu kuendeshwa na nani au nani imehaamuliwa zamani.

TICTS hawakuondoka kwa ujanja wetu au uhodari wetu, misheni yao imekwisha.

DP World haipo kwa ujanja wetu wala ujinga wetu, wapo kwa makusudi kabisa na wanaelewa nini cha kufanya.

TICTS ndiyo haohao Hutchison, Hutchison ndiyo haohao AD Ports, AD Ports ndiyo haohao DP World.
. Wameshagawana zone za kazi. Ni mengi sana, mapoyoyo hamuwezi kunielewa.

Bei za kutulipa zimeshaamuliwa na zipo tayari siku nyingi, wana vigezo vyao havibadiliki, vinapishana kidogo tu kutokana na operating costs zao.
.
Sisi tutafaidi na wao watafaidi.

Mtajionea kimya kimya kuanzia mwaka huu machafuko ya Congo yamekwisha, machafuko ya Sudan Kusini yanakwisha. Gas Tanzania inaanza kuchimbwa kwa kasi, uchumi Tanzania unabadilika ukuwaji kasi ya ujywaji itaongezeka sana mwakani.

Mashamba makubwa yataibuka, mabarara, umeme, usalama, mahosoitali yataongezeka na kuboreshwa.

Tunachokitaka tutakipata kiwepesi sana. Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo.

Tujitayarishe kupokea Wakubwa wa nchi za UAE, Oman, Saudi Arabia, Qatar. Kwa uchache.

Kila mahali patakaa sawa.

Uliza chochote utakacho, yote ninayiyaandika yana ushahidi.

Umeandika nothing but siasa and still hujaelezea about faida wanaypipata nchi kama nchi.
Na terms za mkataba ni kwa muda gani
 
Screenshot_20230623-205948_Drive.jpg
Huyu DPW hata tax anaweza asilipe,check hapo anavyosema kodi iwe non discriminatory,maana hata serikali itapokua inatoza kodi itabidi kwanza wakae mezani wakubaliane kiasi cha kodi,
na kama serikali haitofanya hivyo hiyo kodi itakua ni discriminatory na ikiwa hivyo maana yake serikali itakua imevunja mkataba wakati kipengere cha 1 (a) amekubali kuna miongozo ya kodi alafu chini anataka bargain

Lakini kama serikali itakubali kuchukua kodi tu,je ile miondombinu ilioyowekweza pale bandarini itakwenda kwa DPW bure kabisa,wakati wamekuta miundombinu ipo tayari,maana yake wao wataanza kupata faida kupitia miundombinu iliopo sasa,

Kwanini wasipewe eneo jingine wao wakaliendeleza au kulianzisha,tafsiri nyingine waanze na mtaji wao
 
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.

Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.

Hatuna ujanja, sisi tujihakikishie tu tunafanya haraka kuzitumia fursa kadri tunavyoweza.

Bandari zetu kuendeshwa na nani au nani imehaamuliwa zamani.

TICTS hawakuondoka kwa ujanja wetu au uhodari wetu, misheni yao imekwisha.

DP World haipo kwa ujanja wetu wala ujinga wetu, wapo kwa makusudi kabisa na wanaelewa nini cha kufanya.

TICTS ndiyo haohao Hutchison, Hutchison ndiyo haohao AD Ports, AD Ports ndiyo haohao DP World.
. Wameshagawana zone za kazi. Ni mengi sana, mapoyoyo hamuwezi kunielewa.

Bei za kutulipa zimeshaamuliwa na zipo tayari siku nyingi, wana vigezo vyao havibadiliki, vinapishana kidogo tu kutokana na operating costs zao.
.
Sisi tutafaidi na wao watafaidi.

Mtajionea kimya kimya kuanzia mwaka huu machafuko ya Congo yamekwisha, machafuko ya Sudan Kusini yanakwisha. Gas Tanzania inaanza kuchimbwa kwa kasi, uchumi Tanzania unabadilika ukuwaji kasi ya ujywaji itaongezeka sana mwakani.

Mashamba makubwa yataibuka, mabarara, umeme, usalama, mahosoitali yataongezeka na kuboreshwa.

Tunachokitaka tutakipata kiwepesi sana. Wajinga wajinga kama Magufuli hawatokubalika tena kwa miaka mingi ijayo.

Tujitayarishe kupokea Wakubwa wa nchi za UAE, Oman, Saudi Arabia, Qatar. Kwa uchache.

Kila mahali patakaa sawa.

Uliza chochote utakacho, yote ninayiyaandika yana ushahidi.
MUNGU Akubariki sana kwa UELEWA huu
 
Wewe unawapotezea watu muda tu. Upo very shallow, hata nilichokiandika hujakisoma.

Wewe hata bandari huijuwi imekaaje.
Sisi tuna deal na mkataba, sihitaji nijue bandari ikoje kujua mkataba ni wakuwagawia mabwana zenu waarabu sehemu ya Tanganyika na kuilinda Zanzibar dhidi ya mabwana zenu waarabu.
Pili siwezi soma utumbo wako unao ongozwa na mihemko ya udini katika kufikiri
 
nakubaliana na hoja yako isipokuwa maneno ya kuwatukana na kuwadharua viongozi wetu hayakubaliki.
 
Tulipo fikia ukisimama nchale, ukikaa nchale, ukikimbia nchale hakuna namna tumeshikwa pabaya kidunia hata utawala wa chama cha malaika ukishika hatamu hakuna namna ya kujitoa kwa mabeberu wamekwisha weka mifereji ya kipato kuelekea kwao.

Kizazi hiki tumefikia mwisho cha kufanya tutumie ile falsafa kwamba adui akikushinda nguvu jiunge naye.

Wapinzani wasifanye kila jambo Liwe gumu ili lisitekelezeke wakumbuke kwamba dhambi hiyo inaweza kuwakumba kwa kiwango hichohicho.
 
Sisi tuna deal na mkataba, sihitaji nijue bandari ikoje kujua mkataba ni wakuwagawia mabwana zenu waarabu sehemu ya Tanganyika na kuilinda Zanzibar dhidi ya mabwana zenu waarabu.
Pili siwezi soma utumbo wako unao ongozwa na mihemko ya udini katika kufikiri
Duc! Achana na huyu pimbi hajui chochote zaidi ya ushabiki mavimavi!
 
Kazi kweli kweli
Lovelovie! Unajua hicho kifaizafoxy ni kipimbi mno! Yeye anajidai kana kwamba hiyo DP World ni ya mamake! Kumbe hajui chochote zaidi ya kujichatua. Angalia hata post zake hajui hata kuandika kwa ufasaha! Huyu ni wa kumkabili kwa kila namna. Mbona kabla ya ujio wao hakuwahi kuwasifia kwa lolote. Huyu ni kima tuu na boya haswa!
 
Na analazimisha watu waamini kile anaamini yeye.
Mjinga pekee ndio atakubaliana na huo mkataba.
Yeye sijui tumuweke kundi la watu wazima ovyo😁😁😁.
 
Na analazimisha watu waamini kile anamini yeye.
Mjinga pekee ndio atakubaliana na huo mkataba.
Yeye sijui tumuweke kundi la watu wazima ovyo😁😁😁.
Lovolovie! Huyo ni hayawani ana mawazo mgando na udini uliomjaa yeye anafikiri DP World watajenga misikiti na madrasa. Ni mpuuzi zaidi ya hayawani aka limbukeni.
 
😂😂😂😂😂😂Wuuuh
 
Back
Top Bottom