Leo nimegundua pia waandishi wa habari wamekufa kama sio kufariki ,swali eti wewee slaa unaongea kama nani !🤣🤣🤣🤣 wananchi tulipaswa tusikie kutoka Kwa waandishi wa habari kutuhabari wananchi kwamba kuna watu wanauza nchi yetu Kwa mkoa wa Dubai ,nimeshangazwa na waandishi wa aina hii tunasafari ya km 123456789098775431
 
Sio
Raisi amepokewa kwa mapenzi makubwa sana na Watanganyika, na ni kati ya Marais wanaopendwa sana.

Ni kwamba tunamsaidia ili tuzidi kumpenda.

Mtoto kipenzi lazima umchape fimbo anapokosea ili aende sawa.

Mfano ingetokea mzungu amepewa unadhani kelele hizi zingekuwepo!!! Refer migodi ya dhahabu na almasi n.k lawama hizi na matusi kem kem yalikuwepo!! Kisa mwarabu amepewa!!!

Imefikia mtu anamtukana mama Rais wetu Samia Suluh hassan, Allah amlinde na amuepushe na watu wabaya


Mokaze adriz imhotep zitto junior Zitto zuberi kabwe
 
Dr. Slaa anauliza swali gumu sana hapa kuhusu DG wa Bandari Zanzibar. Inabidi wakajipange
Mzee katupandisha mpaka kwenye suala la Muungano


Watu wenye Akili Huwa wakizeeka ,ndivo akili Inakua Bora zaidi.


Ila Sasa, Angalia Mzee Makamba, JK, Kina, walivyo Sasa 🤣🤣.

Et baadae hukooo, January na Nape, nao watazeeka
 
Una hoja hata yule Mwarabu wa Arab Contractors aliyepewa kazi na Magufuli bila kushindanishwa kwenye zabuni ingekuwa ni Samia matusi yangenyesha kama mvua.
 
Uvccm njooni
 
Ameukaribisha uwekezaji kwenye Bandari zetu lakini amesema CCM daima huungia Mikataba mibovu.
Mbona hapo ni kama ameridhia tuuzwe


Nimesikia viongozi wengi kuanzia akina Mbowe, Lipumba, Slaa na hata Lissu wameupinga huo Mkataba wa Kimangungo waziwazi.

Hawa ndiyo nawaunga mkono sio huyo Mzee Rungwe anayesapoti
 
Slaa wa zamani karudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…