Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
19.06.2023 Push the hashtag
#OGOPA MATAPELI BANDARI HAUZWI
#OGOPA MATAPELI BANDARI HAUZWI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe taarifa kwa undani mkuu ili tuelewe na tuanze kuchukua hatua mapema.Habari Watanzania,
Ni wapi DP World, alitaka bandari zote, hadi za maziwa na mito mikuu?
Mnioneshe nchi moja tu hii Dunia yote, alikowekeza kwa style hii ya kwetu.
Sasa 0101 kazi kwenu!
DP World wa Tanzania ni mwingine kabisa.
Wakati waja tutamjua anayetaka hayo maziwa. Na itakuwa too late kwa nchi yangu!
Asanteni
Upepo wa kisiasa ni dp world tu!!Habari Watanzania,
Ni wapi DP World, alitaka bandari zote, hadi za maziwa na mito mikuu?
Mnioneshe nchi moja tu hii Dunia yote, alikowekeza kwa style hii ya kwetu.
Sasa 0101 kazi kwenu!
DP World wa Tanzania ni mwingine kabisa.
Wakati waja tutamjua anayetaka hayo maziwa. Na itakuwa too late kwa nchi yangu!
Asanteni
Umetajiwa maziwa, bado tu akili haifunguki!Tupe taarifa kwa undani mkuu ili tuelewe na tuanze kuchukua hatua mapema.
Unafikiri DP world anahitaji bandari ya ziwa Tanganyika?!Tupe taarifa kwa undani mkuu ili tuelewe na tuanze kuchukua hatua mapema.
Tueleze basi? Mbona bado unatuuliza maswali tena!?Unafikiri DP world anahitaji bandari ya ziwa Tanganyika?!
Alivyo giant ktk hiyo biashara!
Sasa jiulize, hicho kipengele kimeungwa vipi kwenye hayo makubaliano ya pande mbili.
Tz , kazi ipo
BadoUmetajiwa maziwa, bado tu akili haifunguki!
Nchi inamilikiwa na kampuniDp world ni Zaidi ya richmond kwasababu dp world imeuziwa nchi
Iwe mwisho Tanganyika kuajiri Raisi Mzanzibari.Nchi inamilikiwa na kampuni
AsanteBalozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World...
Uhuru siyo jambo la kupuuzwa hata kidogo!Masharti yasiyofaa na yenye kuhusu nchi kupoteza uhuru wake yako wazi kwenye mkataba au makubaliano kati ya tanzania na dubai yaliyoidhinidhwa na wabunge. Lakini waziri anajaribu kuonesha kama hayana madhara na eti kuna vifungu vinatoa njia. Yote ni propaganda...
Binafsi naomba niitwe , Mtanganyika. Sio Mtanzania bara, tumezidi kuchezewa sasa.Iwe mwisho Tanganyika kuajiri Raisi Mzanzibari.
Kwasababu ya kukosa Uzalendo wa dhati.
Na huyu aliyepo asigombee tena hicho cheo.
Hatumtaki.
Hatuna imani naye tena.