Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Huu mradi ungekuwa upo mwanza sasa hivi ungekuwa umeishajengwaNa sijui tatizo NI nini kujengwa bandari ya bagamoyo au mkataba utakaotumika KUJENGA hyo bandari ya bagamoyo.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mradi ungekuwa upo mwanza sasa hivi ungekuwa umeishajengwaNa sijui tatizo NI nini kujengwa bandari ya bagamoyo au mkataba utakaotumika KUJENGA hyo bandari ya bagamoyo.?
Tatizo hi ujui hata nimeandika niniEmbu tuwekee wa bagamoyo huwo mzuri na sie tuunge hoja
Utajengwa tu kama hutaki rudi kwenu burundiSamia kasema anajenga[emoji3]
Aliouona yuko wapi sasa?Na vipi niamni ya kwako wakatu wewe hata kuona hujauwona?! Why nisimuamini alouwona?! Akili yako iko sawa kweli!
Kabisa mkuu, faida ya mradi ni kubwa sana, issue tupambane kwa ushawishi kwenye vipengele vya mkataba kuwe na win win situation ila hili lankuwasema vibaya wawekezaji na kuona wengine ni vibaraka sio sawa.Kama taifa inabidi huo mradi uangaliwe upya na kama utaonekana kuna mapungufu basi tuombe dirisha la mazungumzo ya kuboresha vipengere vya huo mkataba ili ujenzi uanze
Umenena vyema! Watz wenye mawazo ya kama assad na jk tu ndio wataukubali!Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo.
Wanajenga mali yao wenyewe.
Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99.
Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale mbeganizhou ya Bagamoyo.
Nilichogundua huo mradi wa bandari ya Bagamoyo ni do or die project kwa wachina na serikali yao hakuna nchi yeyote inaweza kubali mkataba wa ajabu na wa kitapeli wa kutoa ardhi yake nzuri na kubwa kiasi kile iwe mali ya china ni tanzania pekee.
Kwa hiyo wachina watafanya lolote linalowezekana kihakikisha mradi huo wa kijambazi unafanikiwa.
Swali la kizushi makada, hivi kabla ya bagamoyo kuwa china itapigwa kura bungeni kupitisha au? Taratiibu zikoje? Najiuliza kama ni hivyo je wakipitisha hilo wabunge watakuwa wamewatendea haki wananchi? Kiasi cha kurudi kifua mbele 2025 kuomba kura?
Je, Chama kina msimamo gani juu ya hii biashara kichaa?
View attachment 1749463
Hiyo ni sawa na kujifungia chumbani utegemee mwanga wa kupitia kwenye nyufa za dirishaKabisa mkuu, faida ya mradi ni kubwa sana, issue tupambane kwa ushawishi kwenye vipengele vya mkataba kuwe na win win situation ila hili lankuwasema vibaya wawekezaji na kuona wengine ni vibaraka sio sawa.
Na wale wenye mawazo ya jiwe ndiyo wanaukwamisha kwa kutumia uongo uongo maana hakuna aliye uona huo mkataba.Umenena vyema! Watz wenye mawazo ya kama assad na jk tu ndio wataukubali!
Haya haya hawana[emoji35]!
Kwa hiyo unaniruhusu nije kwenye kiwanja chako kilichowazi nijenge bangaloo langu na nipafanye pangu 4 99 years! Ambapo ww utakuwa udongo na hata wanao pia watakuwa udongo! Kisha wajukuu wasiweze tena kurudisha eneo lako eeh! Hii akili au 💩!Ni ujinga tu unatusumbua, eneo limekaa wazi zaidi ya miaka 2000, kuna faida gani kubaki na eneo wazi badala pajengwe?
Tabia ya kutaka kusaidiwa saidiwa, unaweza saidiwa hata mke 😂🤣😂!Hiyo ni sawa na kujifungia chumbani utegemee mwanga wa kupitia kwenye nyufa za dirisha
Ni uzuzu tu unawasumbua hawa mataga na sukuma gangMkataba hakuna mwananchi alieuona we haya uliyoandika umeyatolea wapi?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Jifunze kwa djibouti, Zambia, sri lanka juu ya mkakati wa china ww zezeta!Na wale wenye mawazo ya jiwe ndiyo wanaukwamisha kwa kutumia uongo uongo maana hakuna aliye uona huo mkataba.
Nyinyi sukuma gang kamwe hamtaweza kumkwamisha rais wetuJifunze kwa djibouti, Zambia, sri lanka juu ya mkakati wa china ww zezeta!
Mimtu yenye akili za kipumbafu hivi kama zako ni ya kuburuza tu kwa fimbo na mijeredikama mbuzi maana ukiyaacha yatajidhuru menyewe mfyuuuuuu [emoji35]!
eneo halipo wazi, kuna chuo cha uvuvi FETA, ndio inatakiwa wahmishwe ili ijengwe bandari.Ni ujinga tu unatusumbua, eneo limekaa wazi zaidi ya miaka 2000, kuna faida gani kubaki na eneo wazi badala pajengwe?
Acheni upuuzi mavi wew,,, unanipangia nani nimtake na nani nisimtake kama nani mbuzi wa skukuu wew??Kichwa chako kimejaa matope badala ya ubongo we mganga njaa. Roho mbaya za kichawi zinakusumbueni!
Koma kabisa kutukana raisi wetu mama Samia ukiwa nyuma ya keyboard.
You're just proving your stupidity.Mwendazake alikuwa Mpumbavu wa kiwango Cha lami. Mradi wa Bandari ya Bagamoyo una manufaa makubwa kuliko uwanja wa Chato, kuliko SGR kuliko Bwawa la Nyererere, kuliko Ndege zinazotafuna nchi hii.
Kama yeye ni rais na aliona mradi huu haufai ilipaswa aachane na ule mkataba aanze nao mkataba mpya au mkataba uboreshwe Kama ilivyokuwa kea ACCACIA na BARRICK .
Miradi Mingi ya Magu ni white elephant. Ni hadara kea taifa. Mradi huu Magu angeweza kuuendeleza kea kuanza upya mchakato Ili uwe na maslahi kwa pande zote mbili, yeye Kama rais alikuwa na uwezo huo.
Ila kwa kuwa alikuwa Hana akili akaufuta halafu anatumia matrion kutengeneza airport kijijini kwao na daraja la busisi porini kea mabilioni. The man was crazy
Nyie endeleeni kutulisha matango pori,, mnatunga wenyewe sheria, na mnavunja wenyewe mikataba,, ila nacho jua hiyo ya bandari wanaohusika ni yote serikali ya awamu ya nne na ya tano wote,, wakiongozwa na CCM na NdugaiNimeliokota hili andiko sehemu limetupwa;
Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulisitishwa kufuatia majadiliano yenye tija yaliyofanywa mwaka 2018. Serikali ilibaini masharti magumu yanayoweka rehani uchumi wa nchi na kuhatarisha uhuru wa nchi yetu. Kwa mantiki hii wajuvi wa mambo katika mimbali za "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" watang'amua na kuunga mkono zuio hilo la serikali.
Kupitia majadiliano hayo yaliyojikita katika viunga vya ujasusi wa kidola na kiuchumi, serikali ilibaini baadhi ya masharti yafuatayo ambao ni hatarishi kwa uchumi wetu;
1) Wachina walihitaji kuendesha Bandari hiyo baada ya ujenzi bila kuingiliwa, jukumu la kupanga bei liwe mikononi mwao.
2) Pia ukanda huo wa Bandari ya Bagamoyo (Tanga-Mtwara), kusiwe na uboreshwaji wa Bandari zingine, mathalani Bandari za Tanga, Dar es Salaam, Mafia na Mtwara zibaki kama zilivyo kitu kinachohatarisha ukuaji wake na kwa namna yoyote ile zingekufa kifo cha asili.
3) Eneo lote la ujenzi wa viwanda na mji wa kisasa wachina walihitaji umiliki wa hati kwa zaidi ya miaka 33 (zaidi ya miongo mitatu). Mbaya zaidi walihitaji kama Faida yao itakuwa haijapatikana kwa miaka 33 basi hata kwa miaka 99 wangeweza kuendelea kumiliki na kukusanya kodi.
4) Wachina walihitaji pia wawe wasajili, wasimamizi wa viwanda vyote vitakavyowekezwa eneo hilo sanjari na ukusanyaji wa kodi zote zitakazolipwa eneo huska.
Sintofahamu inaongezeka pale ambapo, ni wachina hao hao ambao wangetumika kutoa tafsiri ya kimahesabu kuhusu faida au hasara kutokana na 100% ya kumiliki au kuratibu mchakato mzima wa mapato katika eneo hilo. Hapa nalazimika kukumbuka usemi wa kiratini, "Quis Custodient, Ipsos Custodes?" Kwa tafsiri isiyo rasmi ni, "Who watches the watchers?" Au "Nani atawalinda walinzi wetu," ilihali wenye mali tumewekwa kando na wageni wamepewa fursa ya kufanya wanavyotaka.
Katika viunga vya ujasusi wa kidola na kiuchumi kwa namna yoyote ile lazima wachina wangetuchakachua ili watuvune vya kutosha. Maana wao ndio wangekuwa walinzi wa 100% wa mapato yanayoingia na hata kampuni za ukaguzi ili ionekane wamepata hasara ili kupata tiketi ya kuongezewa muda wa kumiliki na kukusanya mapato.
Aina hii ya makubaliano kandamizi ndio imepelekea Bandari ya Hambantota, Sri Lanka kuchukuliwa na kumilikiwa na China kwa 99%. Pia Uwanja wa Ndege wa Mattala Rajapaksa, Sri Lanka kumilikiwa na China kwa 70%. Ikiwa ni zao la kushindwa kulipa mikopo iliyotegwa katika mtego wa falsafa za "Quis Custodient, Ipsos Custodes."
Rejea andiko lililoandikwa na Institute for Security Studies Africa mwaka 2017 lenye kichwa cha habari, "Lessons from Sri Lanka on China's 'debt-trap diplomacy."
Aidha, rejea andiko ambalo liliandikwa na The Diplomat mwaka 2017 lenye kichwa cha habari, "Sri Lanka's Debt and China's Money," sanjari na andiko la mwaka 2018 lenye kichwa cha habari, "Does Debt Pay? China and the Politics of Investment in Sri Lanka."
Nawiwa kuwaomba watanzania wenzangu kuyatafta maarifa ambayo yamefichwa katika Vitabu au maandishi ili kubaini propaganda zinazofanywa na baadhi ya watu kutetea mradi wa Bagamoyo uendelee kwa maslahi binafsi paspo kuutizama ukweli kwa maslahi mapana ya taifa.
Aidha, niipongeze serikali ya awamu ya 5 kwa kuonyesha ukomavu wa hali ya juu katika viunga vya ujasusi wa kidola na kiuchumi. Hii ni zaidi ya tafakuri tunduizi ya kukataa makubaliano yanayotweza utu wa Taifa letu, kupoka Uhuru wa nchi na kuweka rehani uchumi wa nchi yetu kwa faida ya China.
Kigogo2014Mnalishwa matangopoli bandari ya Bagamoyo JK aliacha kaongea na Oman siyo China.
ni hasara kwa Taifa zima😅Hilo neno linatumiwa sana na watoto wa kike ,kama OP - Mtoa mada ni wa Kiume basi hasara.