Bandari ya Kasanga, Ziwa Tanganyika...

Sio yanaweza asilimia kubwa ya mzigo wa madin ya congo yanapitia hapa dsm port.
 
jamaa anazika ndoto za rafiki yake kuwa the transport hub ya ukanda huu so kuna uwezekano mkubwa Tz ikawa kingmaker wa East Africa

by nature kingmaker east Africa inatakiwa iwe congo na wa pili Tz
kuna jamaa yangu Mnyarwanda anadai JIWE ameamua kuwasomesha namba na wenyewe aliichambua hiyo bandari faida zake kwa Tz na Congo na hasara zake kwa Rwanda mpaka nikashangaa japo nilikuwa hata sihifahamu hiyo bandari before
 
2016 nilikwenda kule kasanga yani unatoka sumbawanga saa 5asubuhi unafika saa 11jion
 
2016 nilikwenda kule kasanga yani unatoka sumbawanga saa 5asubuhi unafika saa 11jion
Kwa ile bandari si ipo mkoa wa katavi mkuu ? Nafikiri kwa kutokea mkoa wa Tabora ni rahisi zaid
 
2016 nilikwenda kule kasanga yani unatoka sumbawanga saa 5asubuhi unafika saa 11jion
... Barabara mpya ya lami imejengwa na kampuni ya China kutoka Sumbawanga ni saa moja na nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…