luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #61
Sio yanaweza asilimia kubwa ya mzigo wa madin ya congo yanapitia hapa dsm port.Madini ya Congo yanaweza pitia TZ na hio itainua uchumi wenu na pia itainua uchumi wa Congo. Halafu bandari hio itarahisishia Congo kuimport mashine kama vile mashine za kujenga barabara. Hii itasaidia Congo kujenga barabara na kufungua nchi hio ambayo karibu yote ni misitu.