Bandari ya Nyamirembe - Chato ipo tayari kwa matumizi

Bandari ya Nyamirembe - Chato ipo tayari kwa matumizi

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
549
Reaction score
614
Nyamirembe.jpg
 
Chato kumekucha! Ngoja nitafute kiwanja Chato, naona muda si mrefu itizidi Mwanza.
 
Kwa mujibu wa rais museveni jina chato limetokana na neno chatu kama unavyojua chatu ni bonge la nyoka hatari anameza kila kitu hana mchezo mchezo

Mamlaka ya bandari nchini TPA imewataka wafanya bishara kanda ya ziwa na hata nchi jirani kuja chato kuitumia bandari hii ya kisasa kabisa maarufu kama nyamirembe iliyoufukweni mwa ziwa Victoria wilayani chato ambapo panakua kwa kasi sana kama uyoga

Baada ya uzinduzi wa meli juzi kati sasa bandari hii inaweza kupokea meli ndogo na zile za kati na kuweza kuingia na kutoka kubeba mizigo na abiria umuhimu katika eneo hili lenye idadi kubwa ya watu Tanzania.

Chatu/chato is seems to grow faster than we predicted before. Imekuwa kubwa imezidi vi- nyoka vidogo na sasa iaweza ikavimeza bila tabu

Kama unaichukia chato hama nchi sisi tunainenga chato/chatu yetu ikue ipae ipaishe nchi

USSR
tapatalk_jpeg_1610397741609.jpg
 
Aiseee, tukague wizara ambayo haijawekeza kimkakati Chato city.
 
Chato tena.

Anayepinga masuala ya Chato atumbuliwe tu.

Na kama kuna wizara ambayo haijawekeza Chato basi mawaziri wake na makatibu wakuu watumbuliwe haraka
 
Kwa mujibu wa rais museveni jina chato limetokana na neno chatu kama unavyojua chatu ni bonge la nyoka hatari anameza kila kitu hana mchezo mchezo...
Sawa, Ila hii kitu ni hatari sana sana kwa ustawi wa usawa katika nchi yetu.

Rais ajaye tutampa mzigo wa kwann asiwekeze eneo analotokea. Na baadae watu watakua wanapiga kura kwa mtu kutokana na ukanda/ukabila ili tu atakayeingia apeleke uwekezaji kwake.

Si sawa sawa, Tanzania ni yetu sote.
1. Hospital ya rufaa ya kanda
2. Uwanja wa ndege wa kanda
3. Bandari

Mmmmmh na eneo lenyewe Chato, kwann si Geita mjini. Population ya Geita mjini ingehudumiwa na hiyo hospitali vizuri, nahisi lile jengo la hospital kuna vyumba litakuwa tupu bila kazi yoyote.
 
Bado mfugale flyover zile zebra zinadhalilisha jiji.

Wajengewe kariakoo yao ipewe jina la ndugai market
 
Back
Top Bottom