Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Mkuu wanajenga na hospitali kubwa hapo, watakuwa na chuo kikuu cha afya. Wahi sasa ardhi bado cheap. Ukishikwa shikamana.Labda ukawekeze kwenye ufugaji wa punda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wanajenga na hospitali kubwa hapo, watakuwa na chuo kikuu cha afya. Wahi sasa ardhi bado cheap. Ukishikwa shikamana.Labda ukawekeze kwenye ufugaji wa punda.
Iko umbali gani kutoka Chato? Mbona wengi wanasema ipo Chato?Kabla ya uhuru ilitumiwa na wakoloni. Ipo mbali na mji wa chato
Usiwekeze hata laki yako chato, maana siku Magufuli anatoka madarakani patakuwa kama Gbadolite ya Mobutu, heri hata na detroitMkuu wanajenga na hospitali kubwa hapo, watakuwa na chuo kikuu cha afya. Wahi sasa ardhi bado cheap. Ukishikwa shikamana.
Hata Kigoma wanaishi watu si ngedere na wanastahili kupata maendeleoKule wanaishi watu sio ngedere ni haki yao kupata bandari
Lazima akili zitukae sawaPengine tunalalamika hali ngumu labda Chato kutakuwa na nafuu,kila kitu kipo kule sasa
Tumfanye awe Raisi wa maisha kabisaMi10 hiyoooooo
Wanajua matanzania mazuzu. Wengi hawajui kuwa Nyamirembe ni Chato 😃hawajatuambia ipo wapi... hahaha
Prezoo ya muyaya...Tumfanye awe Raisi wa maisha kabisa
Wanamuita Mobutu Seseko Kuku wa ZebangaPrezoo ya muyaya...
Hata Kilwa wana ishi watu. Sio nyumbuKule wanaishi watu sio ngedere ni haki yao kupata bandari
Mzee hataki masikhara kabisaaaa
Anajua Chato pekee ndo wanaishi watu😀😀😀Hata Kilwa wana ishi watu. Sio nyumbu