Bandari ya Nyamirembe - Chato ipo tayari kwa matumizi

Bandari ya Nyamirembe - Chato ipo tayari kwa matumizi

Akiondoka madarakani hiyo miradi itabaki magofu kama kule kijijini kwa mobuti.
 
Mbona ya Bagamoyo ujenzi umewekwa kapuni?
Toka Dar es salaam hadi bagamoyo kwa basi ni dakika saa moja kwa hiyo mnataka kila mwendo wa saa moja pajengwe bandari? huo ni ufisadi Kwa baharini ukitumia meli kutoka dar hadi bagamoyo ni dakika 20 ni njia ya short cut !!! Acha hizo
 
Kwa jinsi hiyo gati ilivyosogea kwenye maji inaonekana ni bandari kubwa. Chato si pa kubeza ni pakwenda kuwekeza.
Wewe ndio unakumbuka shuka wakati kumekucha watu walishawahi kule mapemaa hasa ndugu zangu wachangamkia fursa kabla wengine hawajaamka yaani wachaga walishatua Chato kitambo!!!
 
[QUOTE="Godfrey-K, post: 37811648, member: 34passport]
Chato kumekucha! Ngoja nitafute kiwanja Chato, naona muda si mrefu itizidi Mwanza.
[/QUOTE]
Wahi haraka kwakua bado kidogo tutaingia kwa passport
 
Sawa lakini isiwe kigezo cha kuua bandari ya Kemondo Bukoba, kwa kuwa ziko jirani.

Jiografia ya wapi hiii mkuu?kwamba Chato na Kemondo pale jirani?sehem yenye umbali wa kilomita 200 ni jiran?
 
1610435981902.png
 
Back
Top Bottom