Bandari ya Zanzibar yabinafsishwa kwa kampuni ya kigeni, wazalendo wahoji

Bandari ya Zanzibar yabinafsishwa kwa kampuni ya kigeni, wazalendo wahoji

Just going around the bush. Kodi zinawekwa na nani kama siyo sera mbovu.

Japan ilikuwa na nguvu sana ndiyo maana ikaipiga Pearl Harbour, yale malipo ya madhara ya Atomik siyo yaliyoendeleza Japan. Tayari viwanda vwa Mitsubishi vilikuwa vikubwa sana kutengeneza meli na ndege kabla ya vita ya dunia. Mabomu ya Atomiki yalilengwa Hiroshima na Nagasaki kwa sababu kule ndiko kulikokuwa na viwanda vikubwa vya Mitsubishi.

Stori zako zote kuhus kuwekeza china ni blah blah tu; unazunguka katika jambo ambalo hata tukeindelea kubishana hatutafika Mwisho. Ishu yote ni kwenye sera. Elewa kuwa China haikuwahi kuuza shiriaka lake hata moja kwa mwekezaji wa nje. Vitu vingi unavyonunua leo kutoka China huenda vinatengezwa na mashirika ya serikali ambayo yamekopi teknolojia kutoka kwa wawekezaji waliokaribishwa miaka ya 1990 na 2000 tu. Ni swala la sera za kitaifa.
Mimi sijakukatalia unachosema kulikuwa na viwanda tayari lakini ni miaka ya 50 ndio wakaanza kuwa matajiri na hatujatofautiana sera ndio key ya maendeleo sasa ili uweze ku copy tech ni lazima uwavute kwako. Turudi kwenye mada kwa hiyo unapingwa privatization? Maana tumetoka huko tulikuwa na viwanda vingi tu vingine misaada lakini tumeuwa kila kitu wiwanda vimekuwa ma godown. Shirika la posta, ATCL sijui TTCL yaani ni majanga tu wameajiriwa na serikali mishahara inaingia tu hakuna uwajibikaji. Bandari zetu ni majanga sasa kwanini tusichukue njia nyingine.
 
Unarudia hayo hayo ya Sera mbovu za kodi Tanzania zinaweza kufukuza wawekezaji, sure, lakini sasa kama tuna sera mbvu za kufukuza wakezaji, je solution ndiyo iwe kuwauzia mashrika yetu kusudi waje? Inaonekana wewe hujui kujenga hoja kwenye mjadala huu. Hata ukiwauzia mashirka hayo ukaacha sera mbavu, watayachukua na labda kuayua kabisa au kuyanedesha kutokea Kenya na wewe unabaki bado ni empty handed, unapiga mark time..
Hoja yangu haya mashirika yamekuwa mzigo kwa serikali hayajawahi kujiendesha kwa faida wao ni ruzuku tu hatuwezi kuwa na taifa la kutoa ruzuku kwa sababu tu watu wanaiba au hawatoi huduma za kisuhindani. Chukulia mfano wa Dubai mashirika mengi ni ya serikali mpaka ya simu, ndege, Metro sijui bandari lakini wamayeunda kama makampuni binafsi kijiendesha kibiashara hawana ujinga wa kutoa ruzuku wana mfuko wa uwekezaji wale wanawekeza kama wawekezaji na wanawajibika 100%, sisi bandari mtu mfano wizi mtupu mtu akiharibu analetwa mwingine basi yameisha lakini kuna mtu kasema China na Korea serikali wanamashirika yao ni kweli tofauti ya wennzetu wewe mkurugenzi ukamwatwe umekula rushwa hawana masalie mtume wanaondoka na kichwa tu au maisha jela unategemea nini?
 
Hiyo siyo hoja hata kidogo; ni scapegoat tu. Kama China na Japan haizikuuza mashirika yake nje ya nchi na yanafanya vizuri kwa Tanzania tusijifunze kutouza mashirka yetu nje pia?
 
Hiyo siyo hoja hata kidogo; ni scapegoat tu. Kama China na Japan haizikuuza mashirika yake nje ya nchi na yanafanya vizuri kwa Tanzania tusijifunze kutouza mashirka yetu nje pia?
Sasa weka hapa nini kifanyike?
 
Hiyo siyo hoja hata kidogo; ni scapegoat tu. Kama China na Japan haizikuuza mashirika yake nje ya nchi na yanafanya vizuri kwa Tanzania tusijifunze kutouza mashirka yetu nje pia?
In the early Meiji period, the government built factories and shipyards that were sold to entrepreneurs at a fraction of their value. Many of these businesses grew rapidly into the larger conglomerates. Government emerged as chief promoter of private enterprise, enacting a series of pro-business policies.
 
Sasa weka hapa nini kifanyike?
Kwa lugha fupi ni kwamba serikali iendeleza kile tulicho nacho isikiuze nje; kama haina uwezo basi ikuze kwa wawekezaji wa ndani kwa kutumia hisa ndogodogo. Sasa undani wakukamilishoa hayo ni jukumu la waliopewa dhamana, siyo mimi.
 
Kama unajua ulichokwoti utakuwa pia umeelewa hoja yangu, ila kama hukuelewa, basi utadhani kuwa serikali iliuza mashirika hayo kiholeala kama Tanzania inavyofanya sasa
 
Huyu mwamba si ametoka kuuza visiwa jadhaa sasa karukia bandari
 
Kwa lugha fupi ni kwamba serikali iendeleza kile tulicho nacho isikiuze nje; kama haina uwezo basi ikuze kwa wawekezaji wa ndani kwa kutumia hisa ndogodogo. Sasa undani wakukamilishoa hayo ni jukumu la waliopewa dhamana, siyo mimi.
Serikali ilishafanya hayo mashirika mengi yaliuzwa kwa wawekezaji wa ndani lakini walichofanya wakageuza kuwa ma godown ya kuhifandhi bidhaa na huko walishafanya ila kwa kuwa wawekezaji wa ndani hawakuwa na nia njema walichofanya kununua bei rahisi ni kama Japan walivowapa watu wao ila sisi tukaanza kuuza vyuma ndio tumefika hapa leo na mashamba makubwa wakayachukulia mikopo tu huko tumeshindwa sababu sijui labda uwezo mdogo, mitaji ya kipesa na tech mdogo lakini leo hata kiwanda cha urafiki nilikuwa nasikiliza clouds yamekuwa parking ya magari sasa tumefikaje hapo? Morogoro majanga walipewa wawekezaji wa ndani viwanda vyote popo tu ndani. Sasa tufanye nini kutoka hapa.
 
Kama unajua ulichokwoti utakuwa pia umeelewa hoja yangu, ila kama hukuelewa, basi utadhani kuwa serikali iliuza mashirika hayo kiholeala kama Tanzania inavyofanya sasa
Alichofanya Japan ndio tulifanya sisi copy paste wawekezaji wa ndani ila wao wakawa serious viwanda vikawa vikubwa kwa uwezeshaji wa serikali ndio hoja yako umesema tusiuze nje tuwape wawekezaji wa ndani nimekujibu walipewa wa ndani ila walifanya nini? walichofanya wakauza vyuma kwa bei kubwa kuliko bei waliyonunua viwanda hapo narudi sheria zetu mbovu legelege hatukuwa serious na wala hatujui tufanye nini ndio tunaishia kukimbilia nje sababu hata hizo mashini ni absolute tech mpya na hatuna mitaji ya kuwekeza ukiondoa watu kama AZAM wenye uthubutu kama Bagamoyo Sugar kiwanda kipya tech ya kisasa wengine walipewa tu bei ya bure wakauza vyuma.
 
Walianza kuuza/kukodisha visiwa sasa wamemalizia na Bandari.. Mikataba ya Chifu Mangungo wa Msovero bado inaishi
Nasikia hata ya huku kwetu tayari ishakodishwa jamaa wa Dubai lkn kuna broker katikati, ni suala la muda kila kitu kitakuwa wazi
 
Tulieni muone kitakachotokea,hilo la Zanzibar ni dogo sana.Wanakuja na Agenda ya kubinafsisha Bandari ya Dar (kiufupi TPA yote anapewa mwarabu)
Kinachofanyika sasa ni kuwahonga watunga Sheria ili waingie kingi.
 
Chama cha ACT Wazalendo kimehoji juu ya mchakato uliotumika kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuipatia Kampuni kuendesha shughuli za bandari ya Malindi Zanzibar

Katibu wa habari na uenezi ACT Wazalendo Salum Bimani, amehoji hatua hiyo wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika visiwani Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kufungua pazia la kuanza kufanyika kwa mikutano 12 Unguja na pemba

Bimani ameitaka serikali ya Zanzibar kueka bayana hatua zilizofanyika za mchakato wa kuipatia kampuni ya Africa Global Logisti kuendesha na kusimamia shughuli za Banadari ya Malindi

Hii italeta tija sio hapa bongo wanapitisha magendo tuu na kuiba fedha , kama bandari kila siku inajiendesha kwa hasara ina faida gani?
 
Unarudia hayo hayo ya Sera mbovu za kodi Tanzania zinaweza kufukuza wawekezaji, sure, lakini sasa kama tuna sera mbvu za kufukuza wakezaji, je solution ndiyo iwe kuwauzia mashrika yetu kusudi waje? Inaonekana wewe hujui kujenga hoja kwenye mjadala huu. Hata ukiwauzia mashirka hayo ukaacha sera mbavu, watayachukua na labda kuayua kabisa au kuyanedesha kutokea Kenya na wewe unabaki bado ni empty handed, unapiga mark time..
Hawauziwi na hawa binafsishiwi ila wanapewa uendeshaji bandari inabaki mali ya serikali uendeshaji anapewa mtu halafu anatoa asilia za serikali muwe mnaelewa
 
Hawauziwi na hawa binafsishiwi ila wanapewa uendeshaji bandari inabaki mali ya serikali uendeshaji anapewa mtu halafu anatoa asilia za serikali muwe mnaelewa
Plani hiyo ni afadhali kidogo, lakini haitoshi kuifanya nchi ijikwamue.
 
Plani hiyo ni afadhali kidogo, lakini haitoshi kuifanya nchi ijikwamue.
Ila angalau kiasi kitakacho patikana kitakuwa kikubwa kuliko hivi sasa wahuni wanao chezea pump za mafuta kila siku na kupitisha kontena za mitumba feki kumbe ndani zina RANGE ROVER classic
 
Dili latiwa saini baina ya kampuni ya Africa ya Kusini kuendesha bandari ya Malindi Zanzibar. Kampuni ya ADL inauzoefu wa kuendesha bandari za nchi zaidi ya 49 ikiwemo nchi za Haiti huko bahari za Atlantic Caribbean na pia Timor huko Java bahari ya Pacific na kuajiri wafanyakazi zaidi ya 21,000 duniani kote.

1684761271196.png
Picha: mkurugenzi wa ADL Bw. Tony Stenning akisaini mkataba na Bw. Nahaat Mahfoud, CEO wa Shirika la Bandari la Zanzibar huku Waziri wa miundo-mbinu Mawasiliano na usafiri Mh. Khalid S. Moh'd wa SMZ akishuhudia mjini Unguja, Zanzibar

(AGL) - Witness by Hon. Khalid S. Mohamed, the ministry of infrastructure communication and transport, Tony Stenning, Regional Director of Southern Africa at AGL (Africa Global Logistics), and Nahaat Mahfoud, CEO of Zanzibar Ports Corporation, signed the contract for the management of the Malindi Container Terminal at the Port of Malindi in Zanzibar on May 18, 2023

AGL will be responsible for cargo handling operations and maritime services at the country's main port infrastructure. The company is committed to implementing an investment program for the modernization and development of the Port of Malindi. AGL also plans to construct a depot zone outside the port to alleviate congestion.

"We are going beyond operational improvements at this port, as we are determined to invest in its development, attract a greater variety of maritime lines, and stimulate trade volumes," emphasized Tony Stenning during the signing ceremony.

This agreement will enable the country to have a modern infrastructure capable of ensuring imports and exports in conditions of quality, security, and safety that comply with international standards, thanks to AGL's experience in port terminal management.

"The signing of this contract confirms our commitment to continue developing our portfolio of port concessions in Africa. It is a great opportunity for us and our partners in Zanzibar to develop the Port of Malindi and make it the gateway to Zanzibar," stated Olivier de Noray, CEO of Ports & Terminals of AGL.

AGL's new presence will preserve all existing direct jobs and create hundreds of indirect employment opportunities for the residents of Zanzibar. Training and the development of skills for local talent are among the commitments made by AGL.

About AGL (Africa Global Logistics)

AGL (Africa Global Logistics) is the reference multimodal logistics operator (port, logistics, sea and rail) in Africa. The company is now part of the MSC Group, a leading shipping and logistics group. Having developed its expertise over more than a century and with more than 21,000 employees working in 49 countries, AGL provides its African and global customers with global, customized, and innovative logistics solutions, with the goal of contributing in a sustainable way to the transformations of Africa. AGL is also present in Haiti and Timor.
 
Serikali ilishafanya hayo mashirika mengi yaliuzwa kwa wawekezaji wa ndani lakini walichofanya wakageuza kuwa ma godown ya kuhifandhi bidhaa na huko walishafanya ila kwa kuwa wawekezaji wa ndani hawakuwa na nia njema walichofanya kununua bei rahisi ni kama Japan walivowapa watu wao ila sisi tukaanza kuuza vyuma ndio tumefika hapa leo na mashamba makubwa wakayachukulia mikopo tu huko tumeshindwa sababu sijui labda uwezo mdogo, mitaji ya kipesa na tech mdogo lakini leo hata kiwanda cha urafiki nilikuwa nasikiliza clouds yamekuwa parking ya magari sasa tumefikaje hapo? Morogoro majanga walipewa wawekezaji wa ndani viwanda vyote popo tu ndani. Sasa tufanye nini kutoka hapa.
Tunaweza kuchukua mfano wa benki ya CRDB. Kilichoifufua ni kuuza baadhi ya hisa kwa mwananchi. Kilichobakia ni historia. Bahati nzuri dkt. Kimei yu hai na akili tumamu ataweza kutielimisha zaidi katika hili. Hata alipokuwa anaondoka mchakato wa kumpata Bw. Majid umeleta matokeo chanya.

Itabidi tukubaliane kuwa huko nje hakuna wajomba wa kutuletea maendeleo, itabidi sisi wenyewe tufunge mkanda. Kampuni ya Emirates ilianza na ndege moja. Kilichofanyika sio kubinafsisha bali alitafutwa CEO kutoka Uingereza na wanasiasa wakajiweka kando na kumpa Uhuru wa kutumia taaluma na uzoefu wake. Sasa Emirates ni kitu kingine. Pengine wakati umefika tupunguze siasa katika masuala ya kitaaluma, tutavuka lakini sio kutegemea wajomba wa nje kwa sababu nao watakuwa na ajenda zao na malengo yao.
 
Back
Top Bottom