Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nimefuatilia kwa takribani wiki ya tatu Sasa na nimeona jinsi ambavyo swala Hili nyeti la bandari litakavyoondoka na wengi na vingi pia...kwa Sasa tayari swala la katiba mpya limesahaulika...tume huru ya uchaguzi haizingumzwi Tena .
Wanasiasa wote wamehamishia vita Yao bandarini ...mahusiano ya mbowe na ikulu yapo shakani ..uzanzibar umetajwa na viongozi wanasalatiana ...tuombeni sana wanasiasa hamtaiweza vita ya bandari. Pengine rudini kwenye vita ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi huo ndio mwarobaini wa yote hayo .
Katiba yetu imempa mamlaka makubwa sana rais kuhusu ardhi na vitega uchumi vyake .
Hamishieni presha kwenye katiba mpya Huko mnapoteza muda wenu bure