Bandari za Tanganyika hazijauzwa wala kukodishwa kwa waarabu wa Dubai bali zote wamepewa bure!

Tatizo yule kiongozi alitubagua wapinzani tukaonekana sio raia wa nchii hii, ndio maana mini namchukia Sana. Ila huyu wa Sasa hata ni tatizo sana.
Mkuu ni afadhali alijenga nchi japo upande wa demokrasia hakuwa vizuri but maeneo mengi alikua vizuri.

Huwezi pata kiongozi perfect kila eneo.
 
Hata nami nilijua hilo, yule Lukuvi amerudishwa ili kupunguza nguvu ya mashambulizi anayotupiwa msaliti aliyetuuza Uarabuni, anataka angalau aunganishe makundi aliyoyatupa mwanzo yamuunge mkono kwenye huu ujinga wake wa bandarini, lakini kimsingi Lukuvi alishatupwa pembeni.
Tanzania ya leo ni aghalabu kupata maendeleo kwa mindset ya watawala wetu.

Ukipingana na mtazamo wa Rais uneonekana msaliti. Yaani tunalazimishwa kuunga mkono hata jambo la kijinga kama mkataba wa Bandari
 
Wananchi: Tuambieni kama bandari zetu zimebinafsishwa, zimekodishwa, zimeuzwa, au Mdubai amepewa bure. Na ukomo wa huu mkataba utakuwa lini?

Serikali: Huu ni mkataba msingi (mama) tu; inakuja mikataba mingine midogo midogo.

Wananchi: Maana yake ni nini?

Serikali: asdkdjaposdijda[posjsida[pskmasuw9map[ms91-0asna=dmoasdjidsjiasdjaisdjapdadjsdis. Nadhani sasa tumeelewa, ndugu wananchi. Asanteni kwa kutusikiliza.
 
Nimesikitika sana kusikia malumbano ya watu mbalimbali kuhusu suala la kuuzwa dhidi ya kukodishwa kwa bandari zote za mwambao wa bahari ya Hindi upande wa Tanzania bara kwenda kwa waarabu wa Dubai (DP world).

Baada ya kupitia kwa kina, kipengele kwa kipengele, kusikiliza maoni tofauti tofauti ya watu wenye uelewa na weredi kuhusu mikataba na sheria, nimegundua wazi bila shaka yoyote kuwa, Bandari zote za mwambao wa bahari ya Hindi upande wa Tanzania bara amepewa BURE muarabu wa Dubai. Narudia kusema muarabu wa Dubai amepewa BURE. Hajauziwa wala kukodishiwa. Sababu muhimu ni hizi hapa.

1. Hakuna mahali popote kwenye mkataba panaposema ameuziwa bandari au kueleza bei ya manunuzi ama kiasi kilicholipwa ili muarabu apewe bandari. Mkataba indirectly unasema Muarabu wa Dubai amepewa milele ili apaendeleze na hatupaswi kumfanya chochote akishindwa kupaendeleza!

2. Hakuna mahali popote kwenye mkataba panapotaja ni lini au namna gani bandari yetu tutarejeshewa tena. Ukodishaji wowote wa jambo unabanwa na mambo mawili tu. Mosi mipaka ya muda (ni lazima useme ukomo wa muda wa kukodisha) na pili Urejeshaji ya kile kilichokodishwa (ni vipi mkodishaji atarudishiwa mali yake aliyoikodisha). Kwenye mkataba huu hakuna popote panaposema hayo. Pako kimya kabisa.

Note
Tafsiri nyingine ya kiujumla jumla ya BURE ni; Uuzwaji wa kitu cha thamani kwa bei ndogo sana isiyolingana na bei ya soko au uuzwaji wa tunu (kitu chenye thamani kubwa kijamii isiyoweza kubadilika na chenye kuwa na sifa ya kurithiwa na vizazi vyote vijavyo milele)

Pia kukodisha kitu kwa mtu mwingine kwa kipindi cha muda mrefu unaopitiliza muda wa matarajio ya wewe au kizazi chako cha sasa kuendelea kuwepo hai (kiutendaji) duniani maana yake ni kubadilisha umiliki kutoka kwako kwenda kwa yule unayemkodishia. Ukodishaji wowote unaozidi miaka 20 huo ni umilikishaji.
Wadanganyika KWISHA KAZI 😭😭😭😭
 
Wananchi: Tuambieni kama bandari zetu zimebinafsishwa, zimekodishwa, zimeuzwa, au Mdubai amepewa bure. Na ukomo wa huu mkataba utakuwa lini?

Serikali: Huu ni mkataba msingi (mama) tu; inakuja mikataba mingine midogo midogo.

Wananchi: Maana yake ni nini?

Serikali: asdkdjaposdijda[posjsida[pskmasuw9map[ms91-0asna=dmoasdjidsjiasdjaisdjapdadjsdis. Nadhani tumeelewa, ndugu wananchi. Asanteni kwa kutusikiliza.
😭😭😭😭😭
 
Tupe kifungu kinachosema zimegawiwa bure
Kwani huna akili ya kuweza kusoma na kuelewa kilichoandikwa?

Kwani wewe unaona bandari yetu imefanywa nini?

Kama imekodishwa, tuoneshe panaposema tumekodisha kwa muda gani na kwa malipo gani.

Kama imeuzwa, tuoneshe kwenye mkataba, panaposema tumeuza kwa bei gani.

Kama hatujakodisha, hatujauza, basi inaenda kwa mwarabu kwa utaratibu upi?
 
Mmeendesha wenyewe for over 50yrs mmeifikisha wapi zaidi ta nchi zote jirani kukimbilia Mombasa
Nchi zote zimekimbilia kwa jirani, hayo mapato yanayochangia bajeti ya 37%, huwa wanachaji mizigo ya ukoo wako?
 
Mkataa DPW ni mpinga maendeleo
Anayeshabikia mkataba wa kishenzi wa DP ama ni mwendawazimu au ni kuwadi wa DP. Hao watu tuwapuuze. Kama DP ni nzuri iende ikaanzie huko Zanzibar ambako wanaotaka kuiuza bandari ndiyo wanakotoka. Kama kitu ni kizuri, si mpeleke kwenu? Kwa nini ukapeleke ugenini, upige marufuku kwenu? Hatujawa hayawani wa kiwango hicho.

DP kwa kuwa ni wazuri sana, pelekeni bandari ya Zanzibar na bandari ya Pemba.
 
Mkuu, Zanzibar na Pemba ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sisi kama raia, tuna wajibu wa kulinda mipaka yetu yote, kwa mujibu wa katiba.

DP World wafurushwe, warudi zao, kama hawawezi kufuata sheria za nchi. Almost everybody anaupinga huu mkataba wa kinyonyaji, mbali na wachache waliolambishwa asali ya Dubai.

Wote waliohusika kuihujumu nchi kwa mkataba huu wafikishwe mahakamani mara moja.
 
Ajabu kuna wajinga wanaosema wamechoka kujadili hili jambo, jambo litaloumiza vizazi vyetu, ujinga wa mtu mmoja, maumivu yake yatawahusu mpaka ambao hawajazaliwa.
Na ndio maana haya mambo hayatakaa yaishe !! Maana wanasema (Watcha You Gonna Do !!!!)
 
Nimesikitika sana kusikia malumbano ya watu mbalimbali kuhusu suala la kuuzwa dhidi ya kukodishwa kwa bandari zote za mwambao wa bahari ya Hindi upande wa Tanzania bara kwenda kwa waarabu wa Dubai (DP world).

Baada ya kupitia kwa kina, kipengele kwa kipengele, kusikiliza maoni tofauti tofauti ya watu wenye uelewa na weredi kuhusu mikataba na sheria, nimegundua wazi bila shaka yoyote kuwa, Bandari zote za mwambao wa bahari ya Hindi upande wa Tanzania bara amepewa BURE muarabu wa Dubai. Narudia kusema muarabu wa Dubai amepewa BURE. Hajauziwa wala kukodishiwa. Sababu muhimu ni hizi hapa.

1. Hakuna mahali popote kwenye mkataba panaposema ameuziwa bandari au kueleza bei ya manunuzi ama kiasi kilicholipwa ili muarabu apewe bandari. Mkataba indirectly unasema Muarabu wa Dubai amepewa milele ili apaendeleze na hatupaswi kumfanya chochote akishindwa kupaendeleza!

2. Hakuna mahali popote kwenye mkataba panapotaja ni lini au namna gani bandari yetu tutarejeshewa tena. Ukodishaji wowote wa jambo unabanwa na mambo mawili tu. Mosi mipaka ya muda (ni lazima useme ukomo wa muda wa kukodisha) na pili Urejeshaji ya kile kilichokodishwa (ni vipi mkodishaji atarudishiwa mali yake aliyoikodisha). Kwenye mkataba huu hakuna popote panaposema hayo. Pako kimya kabisa.

Note
Tafsiri nyingine ya kiujumla jumla ya BURE ni; Uuzwaji wa kitu cha thamani kwa bei ndogo sana isiyolingana na bei ya soko au uuzwaji wa tunu (kitu chenye thamani kubwa kijamii isiyoweza kubadilika na chenye kuwa na sifa ya kurithiwa na vizazi vyote vijavyo milele)

Pia kukodisha kitu kwa mtu mwingine kwa kipindi cha muda mrefu unaopitiliza muda wa matarajio ya wewe au kizazi chako cha sasa kuendelea kuwepo hai (kiutendaji) duniani maana yake ni kubadilisha umiliki kutoka kwako kwenda kwa yule unayemkodishia. Ukodishaji wowote unaozidi miaka 20 huo ni umilikishaji.
Leo nimesikia huko club house kuna jamaa anatoa taarifa kuwa kuna mtoto wa Samia anayeitwa Abdul Samia ni mmojawapo wa wakurugenzi wa DP world. Nitafuatilia kwa kina kama kweli inabidi tutafute na kumshtaki rais kwa uhaini kwenye mahakama za kimataifa!
 
Umshitaki huku akiwa na kinga?
 
Ajabu kuna wajinga wanaosema wamechoka kujadili hili jambo, jambo litaloumiza vizazi vyetu, ujinga wa mtu mmoja, maumivu yake yatawahusu mpaka ambao hawajazaliwa.
Kujadili nyuma ya keyboard haisaidii chochote.
 
Mbaya zaidi waliouza bandari zetu siyo wabara
Ndo hapo tunapotaka kujua legitimacy ya wazanzibari kuingia mkataba kwenye bandari za Tanganyika ili hali swala la bandari limeonekana kuwa si swala la muungano, kwani zanzibar wana sheria yao ya bandari na wana mamlaka yao ya bandari na mkurugenzi wao mkuu.
 
Nchi zote zimekimbilia kwa jirani, hayo mapato yanayochangia bajeti ya 37%, huwa wanachaji mizigo ya ukoo wako?

37% nayo ni hela kwa potential ya bandari? Hiyo 37% almost yote ni mzigo ga ndani. Tatizo lenu maskini mnaridhika na vitu vidogo vidogo vidogo tu ngoja bandari apewe muwekezaji uone mtapata shingapi.
 
Anayeshabikia mkataba wa kishenzi wa DP ama ni mwendawazimu au ni kuwadi wa DP. Hao watu tuwapuuze. Kama DP ni nzuri iende ikaanzie huko Zanzibar ambako wanaotaka kuiuza bandari ndiyo wanakotoka. Kama kitu ni kizuri, si mpeleke kwenu? Kwa nini ukapeleke ugenini, upige marufuku kwenu? Hatujawa hayawani wa kiwango hicho.

DP kwa kuwa ni wazuri sana, pelekeni bandari ya Zanzibar na bandari ya Pemba.

Wacongo, wazambia, warwanda nk wataenda kuchukua mizigo Zanzibar? Mambo madogo hivi yanawashinda kufikiri, nyie wapinga maendeleo mna mawazo mafupi sana. DP world inaanza bara imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom