Bando linapaa hadi kero

Epuka maudhui ya video, bando lita dumu sana
Kwangu mimi Vodacom imekua bora kwa matumizi ya intanet, bando la 1000 kwa siki 3 walao linafika siku ya pili karibu na ya tatu.
Hivi Kwa zama hizi kweli unaweza epuka maudhui ya video kweli ...?maana maudhui mengi yenye jumbe nyingi zipo Kwa njia ya video.
 
Internet imekuwa ni luxury na sio hitaji la msingi.

Dawa ni kufunga router, halotel ya elfu 70 unapata speed ya 10mbps, 95 elfu mb40 per second, tatizo ni huwezi kutembea nayo, ni mpaka uwe nyumbani, sisi wazee wa kuganga njaa, mihangaiko na misele mingi, mpaka urudi home, inakuwa haina thamani ya pesa, ila ukishinda home ni kitonga haswaaa.. Wanafamilia mnatumia, mnaunga kwenye tv yaani safi sana
 
Chukua router ya voda au airtel una tembea nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…